UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
Yaani mkuu kuna baadhi ya vijana humu sijui kama akili zao zinafanya kazi sawa sawa.....yaani yeye akishapewa habari na viongozi wake badala na yeye kutia fikra japo kidogo anaibeba kama ilivyo......
Inawezekana wakina Mbowe wamemwambia kuwa hizo fedha zote amepewa mjane......na yeye akaichukua kama ilivyo bila ya kuangalia hali halisi.....
Hapo juu umetoa ushauri kwamba ukweli uwekwe ili kuonyesha mleta mada ni muongo ,hapa unatuambia kina Mbowe wamemwambia kuwa hizo fedha zote amepewa mjane ,wewe ulikuwepo wakati Mbowe anamuambia hivyo ,unachoshauri na unachotenda ni mbingu na ardhi