KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
Inawezekana pia huyo mjane kalipwa ,sasa kashfa za sijui vijana wa chadema nini nini zinatoka wapi ?
Zinatokana na wengi kufuata kile wanachoambiwa au kuamrishwa viongozi pasi na kutumia akili zao japo kidogo.....!!???
Mfano huyo kijana hapo juu anayesema kuwa zimekusanywa milioni 100 na kupewa mke wa marehemu....wakati hana uhakika na usahihi wa taarifa hizo......