CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

For more than ten yrs nimechangia chama mkuu! [emoji16] [emoji16] [emoji16] hakuna kitu ruzuku zinakuja sijui zinaenda wapi? Mkuu kuna tatizo mkubali mkatae maana ata kuanzisha redio au tv chadema wameshindwa mikutano na matamasha ya chama hawana sehemu ya kufanyia mkuu si sawa aiseii
Pesa zako zimehifadhiwa Dubai na wajanja mkuu.. Wewe endelea kusubiri mabadiliko mpaka yaje.. Shtuka mapema before it is too late.. Hao Chadema hawana tofauti yoyote na CCM.. Magufuli alipoanza walisema anatumia Ilani yao kutekeleza majukumu, ila leo wanamtukana eti hakuna anachofanya.. Miaka yote humu walikuwa wanapiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kuacha kukimbizana na kodi za machinga, leo wameweka VAT kwenye Utalii na Transit wanapiga kelele.. Hao ndio Bavicha
 
Kina vibendera Chakaza kutwa kutafuta sifa lichama uchwara hahaha

Ha ha ha! Ofisi tutagawana hizo hizo mnazoita zenu siku tukiwang'oa maana zilijengwa na Watanzania wote kisha mkaziiba kuwa ni zenu. Viwanja tunavikabidhi Halmashauri, mfano badala ya CCM Kirumba inakuwa Kirumba Mwanza City Stadium.
Sasa hivi tunapambana na udikteta uchwara tuu.
 
Umeziona kwanza ofice za kiiza wa uganda!?
Mmekalia kufuata mkumbo
Hakuna kihoji lolote
 
Tafuta mfumo wa uendeshaji chama Uganda kwanza ndio uje na sifa zako

Hahaha
Haya ona Hili jitu lisilo na aibu

Linatembea kifuambele kwenye ofisi za wanaume wenzie

Chini hakuna vumbi cheki hapo

ukawa5.jpg

Njoo kwenu sasa
Hahaha chini full vumbi
b1.jpg

Chama kila kukicha michango
Ruzuku kila mwezi
Mwenyekiti tangu huja barehe mpaka waleo ni yuleyule.
Jaribu kuuliza uone
Wacheni kuwa Vibendera nendeni na wakati
Mbowe Dikteta sana
 
Mhere mwita hana hata wiki mbili tangu akutane na hao watoto

Post kama hizi huwa mnalipwa shs ngapi tupeni dili wakuuu
 
Attachments

  • 1470828186642.jpg
    1470828186642.jpg
    36.4 KB · Views: 44
Kaulize kama hizo 100 Mil zimemfikia mjane wa Mawazo, zilivyopatikana tu zilichukuliwa na uongozi wa juu kwa kile kilichoitwa kulipa wanasheria na gharama za kumweka mwekiti mbowe pamoja na lowassa mwanza wakati wakishughurikia kesi ya maziko ya Mawazo
Uwii jamani. ..inasikitisha
 
Hahaha
Haya ona Hili jitu lisilo na aibu

Linatembea kifuambele kwenye ofisi za wanaume wenzie

Chini hakuna vumbi cheki hapo

ukawa5.jpg

Njoo kwenu sasa
Hahaha chini full vumbi
b1.jpg

Chama kila kukicha michango
Ruzuku kila mwezi
Mwenyekiti tangu huja barehe mpaka waleo ni yuleyule.
Jaribu kuuliza uone
Wacheni kuwa Vibendera nendeni na wakati
Mbowe Dikteta sana
Si walibadilishe
 
Hawa jamaa tangu wampokee yule msela na kumtema mzalendo slaa mimi sina imani nao. .. nawacheki tu
 
Mhere mwita hana hata wiki mbili tangu akutane na hao watoto

Post kama hizi huwa mnalipwa shs ngapi tupeni dili wakuuu
kinachoongelewa hapa ni kwa nini viongozi wa chadema walitoa ahadi za uongo ungejua kamanda mhere ndo kanikutanisha na hiyo familia usinge andika huo ugoro
 
Million 300 kwa mwez na muda waliokaa kama chama kikuu cha upinzani ni kama haipungui billion 30 mpaka sasa.
Hata jengo moja la ofisi.
Cdm si mikono salama kwa nchi yetu.
 
Mods rekebisheni heading.
Kuna tofauti kubwa kati ya kutekeleza na kutelekeza.
Mtoa mada bila shaka alimaanisha "CHADEMA imeitelekeza familia ya Mawazo" na sio kutekeleza kama ilivyo hivi sasa.
 
Pesa zako zimehifadhiwa Dubai na wajanja mkuu.. Wewe endelea kusubiri mabadiliko mpaka yaje.. Shtuka mapema before it is too late.. Hao Chadema hawana tofauti yoyote na CCM.. Magufuli alipoanza walisema anatumia Ilani yao kutekeleza majukumu, ila leo wanamtukana eti hakuna anachofanya.. Miaka yote humu walikuwa wanapiga kelele serikali kubuni vyanzo vipya vya kodi na kuacha kukimbizana na kodi za machinga, leo wameweka VAT kwenye Utalii na Transit wanapiga kelele.. Hao ndio Bavicha
Acha unafiki wewe mng'ata na kupuliza.[emoji12][emoji12]
 
Waungwana poleni na majukumu,

09/08/2016 nilibahatika kufanya mazungumzo na mke na baadhi ya ndugu wa Alphonce Mawazo inasemekana baada ya mazishi viongozi wa CHADEMA walitoa ahadi kwa familia ya Alphonce Mawazo ikiwemo kuijengea nyumba familia hiyo, kuwasomesha watoto, kuinunulia gari familia hiyo na kuwapatia mtaji wa biashara lakini cha ajabu hadi leo viongozi wa CHADEMA hakuna ahadi yoyote waliyoitekeleza. Mimi kama mtanzania mzalendo kupitia hii thread napenda kuwakumbusha viongozi wa CHADEMA wajitokeze na kwenda kutekeleza ahadi walizoahidi kwa familia ya Alphonce Mawazo.
MBONA HIZO NI ZA KAWAIDA- AHADI NYINGI ZA NAMNA HIYO AMBAZO VIONGOZI WAMEZITO HUKO NYUMA ZILIKUWA KAULI ZA PR TU.
 
Back
Top Bottom