CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

Tahakikisha mnakamatwa tu hata kama ni mpo kwenye mfumo nyie niwachochezi mnatutana
 
ni hatari yalitoa ahadi hewa
Kumbe hili suala lipo kisiasa nilipokuwa nafauatilia coment moja moja nkajua huenda ni kweli tanzania ya viwanda ina kazi hata misiba majonz na simanz inageuka uwanja wa siasa nchi imefika sehemu mbaya civil war kwa tz ipo karibu awamu hii.
 
Kama ungekuwa mjuaji na unayetambua umhimu wa Mawazo kwa familia yake pia tungeona thread yako kulaani wauji chichiem ambao walitekeleza unyama huo, au tungekuona unashupaa kudai haki itendeke kwa walio tekeleza mauji hayo..! She on you.
nendeni mkatimize ahadi zenu
 
Kama ungekuwa mjuaji na unayetambua umhimu wa Mawazo kwa familia yake pia tungeona thread yako kulaani wauji chichiem ambao walitekeleza unyama huo, au tungekuona unashupaa kudai haki itendeke kwa walio tekeleza mauji hayo..! She on you.
Tahakikisha mnakamatwa tu hata kama ni mpo kwenye mfumo nyie niwachochezi mnatutana
kawatishie watoto wadogo ukweli lazima mkatimize ahadi zenu
 
Kama mdau mmoja alivyoshauri pale juu ingelikuwa vyema ukapata maelezo ya upande wa pili kabla hujapost kitu chochote.
 
Kwa nini machadema yalitoa ahadi sasa za kujenga nyumba,gari, na kuwasomesha kama walijua watabadili gia angani na kuitupia mpira ccm?
Mimi ni ccm kwa taarifa yako na kadi yangu inaanza AF kwa taarifa yako ila huwa spendi siasa za maji taka..
 
Sioni sababu ya watu humu kumshambulia na kumtukana mtoa mada.......
Uongo daima unazimwa na ukweli.....na uongo ukiachwa bila ya kuuzima utaaminika na watu kana kwamba ndio ukweli.........

Kama kweli CHADEMA walitoa ahadi hiyo kwa familia ya kamanda Mawazo na hawajatekeleza hata moja si jambo la kiungwana......njia pekee ya kumshushua mtoa mada ili aone haya ya kupost uongo siku nyingine ni kuumwaga ukweli wa jambo lenyewe......

Simamia kweli kwa kuwa kweli daima hutuweka huru.....
Bavicha wao wametumwa kupinga kila kitu... Tena kupinga bila hoja, sasa wanaacha kumkosoa jamaa kistaarabu wao wanarusha matusi tu..
 
Back
Top Bottom