CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

Mkuu Mimi Kichwa Cha Habari Niliandika Hivi " CHADEMA YAITELEKEZA FAMILIA YA ALPHONCE MAWAZO " ... Lakini Wao Wameibadili Ili Kuficha Uozo ...
Mods sahihisheni kicwa cha habari haraka sana. CHDEMA ni matapeli. Siku ya hukumu ya aliyemuua Mwamndishi Mwangozi hata kiongozi mmoja kupeleka pua yake kule!
 
WAHANGA WENGINE watapatikana wakishikishwa ukuta,halafu mnaachwa kama hivi na viongozi wenu.
 
Mbona watoto wa baba wa Taifa mmewatelekeza mnawabeba watoto wa aki na nanii hapo Pwani?
 
Kuingia mtaani kuandamana.....na kuonyesha uanaharakati nyuma ya keyboard ni vitu viwili tofauti.....
 
AHADI YA KUMSOMESHA MTOTO MPAKA CHUO KIKUU...... (Edward Lowasa)
 
Waungwana poleni na majukumu,

09/08/2016 nilibahatika kufanya mazungumzo na mke na baadhi ya ndugu wa Alphonce Mawazo inasemekana baada ya mazishi viongozi wa CHADEMA walitoa ahadi kwa familia ya Alphonce Mawazo ikiwemo kuijengea nyumba familia hiyo, kuwasomesha watoto, kuinunulia gari familia hiyo na kuwapatia mtaji wa biashara lakini cha ajabu hadi leo viongozi wa CHADEMA hakuna ahadi yoyote waliyoitekeleza. Mimi kama mtanzania mzalendo kupitia hii thread napenda kuwakumbusha viongozi wa CHADEMA wajitokeze na kwenda kutekeleza ahadi walizoahidi kwa familia ya Alphonce Mawazo.
Chama cheti cha CCM kina vijana wajinga sana sijawahi kuona! Inauma sana basi tu. Mpaka sasa sijaona faida ya hii plan ya proponganda za kwenye Social media.
Ni ujinga mtupu unaendelea kwa gharama za Chama.
 
Chama cheti cha CCM kina vijana wajinga sana sijawahi kuona! Inauma sana basi tu. Mpaka sasa sijaona faida ya hii plan ya proponganda za kwenye Social media.
Ni ujinga mtupu unaendelea kwa gharama za Chama.
Ccm hatuna mwanachama mjinga kama wewe,hatuna mda wa kumchafua mtu kwenye social media tupo busy kutekeleza ilani ya chama ya mwaka 2015-2020 na kupigana na maadui watatu UMASKINI,UJINGA na MARADHI,hao ndio maadui wetu ccm ambao tunaweza kupoteza mda kuwachafua kwenye social medial ila sio kuwaza ujinga kama mnao waza nyinyi nyumbu,washauri nyumbu wenzako mkatekeleze ahadi ya kujenga nyumba ya marehemu sio kazi kuwaza kushikishwa UKUTA tarehe 01/09.
 
CCM wameitelekeza familia ya Baba wa Taifa, itakuwa Chadema na familia ya Mawazo?
 
Mmh sio mnaiogopa operesheni UKUTA. Dawa kujirudi na kuacha kuchezea KATIBA ya nchi. Porojo nyingine ziishie huko huko zizini.
Hatuwezi kuogopa maandamano ya wanyama kama nyumbu,sababu dawa yenu inachemka tarehe moja itakuwa tayari na tutawanyeshwa bila kujali ni mtoto,mmama,mzee au mlemavu,kiboko ya ukuta ni BULLDOZER.
 
Imeitekelezae!!?

Sasa walimu wameshaamua hawana time na mtoto wa mtu.
 
Kamanda Mawazo neema ya Mungu ipitayo akiliii zotee ikaifadhi Moyo wako
 
Back
Top Bottom