umenena vyema mkuu.Habari yako mkuu sipingani na ww katika unachokieleza je umeshafanya mawasiliano na wale walioahidi? ili kujiridhisha na kutuletea taarifa bila kuegemea upande wowote maana maisha ya mtu hayaitaji unafiki au umbea kabisa, hivyo ningelishauri ungelifuatilia kwa pande zote mbili maana kwa upande wangu naona umeleta mada ya kinafiki kutaka kuonyesha upande fulani ni bora mwingine si bora, ili hali hapa unazungumzia maisha ya watu,tuwe makini katika uletaji wa habari, ni wazo tu.
nendeni mkatekeleze ahadi mlizotoaKwahiyo unataka waihamishie UFIPA tumia kidogo akili kichwa tikitimaji nini?
usitoke nje ya maada nendeni mkatekeleze ahadi mlizotoaPropaganda hizi...
Vipi familia ya Komba ina hali gani?
Labda mm nikuulize tu ili kuweka kumbkumb sawa, hayo mazungumzo yenu yalitokana na nn?? uliitwa au ulijipeleka mwenyewe?? Na baada ya mazungumzo hayo ww binafsi ukionyesha kuguswa kwa hali ya juu ulichangia nn kwa familia hiyo....??? Hii ni habari ya 'kichochezi'Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
wataelewa tu kwa nini watoe ahadi za uongoSidhani kama manyumbu watakuelewa.
Wamuue wao halafu lawama wapelekewe wengine... AjabuMawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo
kwa nini mlitoa ahadi za uongoMawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo
Ni kawaida kutelekezwa ni yalee ya Marehemu shelembi wa shinyanga kimya mpaka hivi leoWaungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
walitoa ahadi ni vema wakaenda kuzitimizaMawazo alikufa kifo kibaya sana tena akitoka kwenye harakati za kujenga chama. Labda polisi kupitia uchunguzi wamehundua yaliyonyuma ya pazia kuhusu kifo kile.
Lkn tukumbuke kuwa ukifa hautakumbukwa utatelekezwa tu.
Tusubiri taarifa za ukuta tuone
nendeni mkatimize ahadi mlizotoaHuyu katumwa na ccm sio bure
asante kwa kumueleweshaHapana usiseme hivyo kabisa. ....tafuta njia ya kuwasaidia!
nawakumbusha tuWewe ndo mwandishi wa ile barua ya Jaji Kaganda? Eti "Utangamano"
hii siyo siasamkuu unajua kwenye mambo ya muhimu kama privacy za familia hakuhitaji siasa.
kweli kabisa sijui unamdanganya nani kwa faida gani wakati ungo ni dhambiuongo ni dhambi kubwa sana
Wewe ni liongo kabla ya msiba kuisha wabunge wa chadema walichanga pesa zaidi ya milioni 100.
Kama sio mwanasiasa umeletaje Taarifa za kisiasa?wewe umesema umefanya mahojiano na mke wa marehemu Mawazo si ndivyo? Na kwa maana hiyo wewe ni mwandishi wa habari.Lengo la mahojiano hayo ilikuwa nini? Kama ilikuwa kujua kama ahadi ulizo zitaja zimetekelezwa ama la ,umeshindwaje kufanya mahojiano na walio ahidi? Kabla ya kuleta hapo? Na je mke wa Mawazo ndiye amekuomba umsemee hapa??Mimi siyo mwanasiasa nawakumbusha tu
Suala si Nani alimuua Mawazo, bali ahadi iliyotolewa na uongozi wa Chadema kwa familia ya marehemu.Mawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo