CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

Sasa wameitelekeza vipi? Kwanza twambie wauaji wamesha kamatwa? Au nawewe ni wale wale wa buku7 usituondoe kwenye UKUTA
 
Bavicha wao wametumwa kupinga kila kitu... Tena kupinga bila hoja, sasa wanaacha kumkosoa jamaa kistaarabu wao wanarusha matusi tu..

Hii inashangaza kiongozi....sijui wanatumia vitu gani vinavyoharibu akili zao......
Yaani mtu anashindwa hata kutumia dakika moja tu ya kufikiria cha kujibu zaidi ya tusi....tena wakati mwengine ni ya maungoni kabisa......

Wanajitafutia laana kwani humu watu wengine wanaowatusi ni sawa na baba zao na pengine ni baba zao kabisa....kutokana na haya mambo ya fake id.....
 
Hizi ndizo ofisi za chama kikuu cha upinzani Tanzania kinachopokea Ruzuku ya zaidi ya Million 300 kwa mwezi, hapo bado michango binafsi ya wanachama wake.. Hivi hawa kama sio group ya matapeli ni nini?? Mke wa mawazo afanye yake tu asijisumbue kusubiri ahadi hewa..

SANY0104.JPG
 
Siasa za kudanganya na kubadilia gia anagani sio? Bila shaka una maana hiyo.
Mimi ni mtu jamii ya akina Nyerere chadema wakifanya madudu anasema ssm wakiharibu nakemea pia, siungi mkono vurugu lakini pia siungi mkono kukataza mukutano ya kisiasa pia.
 
Hii inashangaza kiongozi....sijui wanatumia vitu gani vinavyoharibu akili zao......
Yaani mtu anashindwa hata kutumia dakika moja tu ya kufikiria cha kujibu zaidi ya tusi....tena wakati mwengine ni ya maungoni kabisa......

Wanajitafutia laana kwani humu watu wengine wanaowatusi ni sawa na baba zao na pengine ni baba zao kabisa....kutokana na haya mambo ya fake id.....
Ndio wanataka kupewa nchi hao... Yetu macho..
 
Wala siyo ugomvi nendeni mkatimize ahadi mlizotoa[/QUOTE

Kaka nani kasema kuwa huu ni ugomvi? mm toka mwanzo nimesema kuwa yawezekana uko sahihi ila uko so selfish tena nikakufafanulia kuwa tunachotaka hapa si unafiki na umbeya ni namna ya kupata ukweli tujue je, kauli yako ina mashiko au ndio beti ya taarabu? maadamu mpaka sasa huonyeshi dalili za kusema hata wewe kwa huruma kama uliyoionyesha hapa kwa kuandika utadhani MALAIKA kumbe ni MNAFIKI na MMBEA MKUBWA, KWA MAWAZO YANGU HUFAI KUTUNGA AU KUANZISHA MADA ILA SUBIRI WATU WAANZISHE UCHANGIE, KAMA ILIVYOKUWA UNAJIBU MASWALI YAKO YA MULTIPLE QUESTIONS KWENYE MITIHANI. SIKU NJEMA.
 
Kama mdau mmoja alivyoshauri pale juu ingelikuwa vyema ukapata maelezo ya upande wa pili kabla hujapost kitu chochote.

Kwanini huo upande wa pili usiyatoe hayo maelezo hapa...!!!??

Kwanini hao wa upande wa pili wasitekeleze ahadi zao( kama kweli waliahidi)....
 
Hizi ndizo ofisi za chama kikuu cha upinzani Tanzania kinachopokea Ruzuku ya zaidi ya Million 300 kwa mwezi, hapo bado michango binafsi ya wanachama wake.. Hivi hawa kama sio group ya matapeli ni nini?? Mke wa mawazo afanye yake tu asijisumbue kusubiri ahadi hewa..

SANY0104.JPG

Mkuu ulimaanisha ofisi kuu ya CDM au ofisi ya diwani....??!!!
 
Hizi ni Office za Chama cha Kiiza Besigye FDC pale Uganda... Linganisha hizi office za makao makuu ya Chadema ndipo utagundua CDM ni kundi la matapeli..

IMAGE+uganda.jpg
fdc.jpg
f27e8fe1bf4c213a737f5ff23657a272.png
 
Mkuu ulimaanisha ofisi kuu ya CDM au ofisi ya diwani....??!!!
Hiyo ni Ofisi Kuu ya Chadema... Ndipo wanapopatikana Mbowe, Tundu Lissu, Mnyika, Mdee na wengineo.. Yaani hapo hata Ulinzi hakuna. Alafu walivyo matapeli wamekuwekea bango ya M-Pesa hapo nje uchangie chama.. Ebu angalia vizuri hapo

SANY0104.JPG
 
Hehehe hawa CDM

Niwakuacha tu
Wanaishi kwa kutekeleza Fikra za Mbowe lakini yakiwakuta hawana msaada,
Nasubiria hiyo tarehe moja
Watu wapewe vilema tuone CDM itawasaidia nini.

"Hakuna mtu anataka kumjaribu rais magufuli,hakuna anayetaka kukamatwa,mahabusu siyo pazuri, niulizeni mimi- Tundu lissu""

CCM imewatelekeza wananchi wa kahama walikumbwa na mafuriko..ahadi yao ni kuwajengea nyumba na kuwapayia maisha bora..
 
Hizi ni Office za Chama cha Kiiza Besigye FDC pale Uganda... Linganisha hizi office za makao makuu ya Chadema ndipo utagundua CDM ni kundi la matapeli..

IMAGE+uganda.jpg
fdc.jpg
f27e8fe1bf4c213a737f5ff23657a272.png

Pia waone jinsi police walivyo tanda

Waropokaji wanawadanganya vibendera eti demokrasia hahaha

Mwenyekiti wa chama hataki demokrasia ndani ya chama
Hataki kuhoji mapato na matumizi ya chama

Ofice kama banda la sungura miaka 23!!!
 
Hiyo ni Ofisi Kuu ya Chadema... Ndipo wanapopatikana Mbowe, Tundu Lissu, Mnyika, Mdee na wengineo.. Yaani hapo hata Ulinzi hakuna. Alafu walivyo matapeli wamekuwekea bango ya M-Pesa hapo nje uchangie chama.. Ebu angalia vizuri hapo

SANY0104.JPG

Kina vibendera Chakaza kutwa kutafuta sifa lichama uchwara hahaha
 
Kwa matumizi ya rasimali za chama mbowe zero hapo! Kashindwa kujenga ofisi..!??
 
Pia waone jinsi police walivyo tanda

Waropokaji wanawadanganya vibendera eti demokrasia hahaha

Mwenyekiti wa chama hataki demokrasia ndani ya chama
Hataki kuhoji mapato na matumizi ya chama

Ofice kama banda la sungura miaka 23!!!
Hoji Ruzuku uonyeshe cha mtema kuni... Utaitwa msaliti au kuuwawa au kupandikiziwa fitna kibao.. Office ziko hoi, hapo nje hilo gari lililopaki linajenga hiyo office na kununua furniture nzuri tu ila cha ajabu hadi hako kagofu eti wamepanga..

Alafu mnaambiwa tarehe 1 September mkaandamane hehehehe kweli wajinga ndio waliwao..
 
Kamanda changia chama kwanza ili tujenge ofisi..

chadema+M4C+logo.jpg
For more than ten yrs nimechangia chama mkuu! [emoji16] [emoji16] [emoji16] hakuna kitu ruzuku zinakuja sijui zinaenda wapi? Mkuu kuna tatizo mkubali mkatae maana ata kuanzisha redio au tv chadema wameshindwa mikutano na matamasha ya chama hawana sehemu ya kufanyia mkuu si sawa aiseii
 
Back
Top Bottom