CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

Kaulize kama hizo 100 Mil zimemfikia mjane wa Mawazo, zilivyopatikana tu zilichukuliwa na uongozi wa juu kwa kile kilichoitwa kulipa wanasheria na gharama za kumweka mwekiti mbowe pamoja na lowassa mwanza wakati wakishughurikia kesi ya maziko ya Mawazo

Yaani mkuu kuna baadhi ya vijana humu sijui kama akili zao zinafanya kazi sawa sawa.....yaani yeye akishapewa habari na viongozi wake badala na yeye kutia fikra japo kidogo anaibeba kama ilivyo......

Inawezekana wakina Mbowe wamemwambia kuwa hizo fedha zote amepewa mjane......na yeye akaichukua kama ilivyo bila ya kuangalia hali halisi.....
 
Je na lowassa vp anatimiza hadi yake kumsomesha yule mtoto wa mawazo
 
Mimi siyo mwanasiasa nawakumbusha tu

Wewe wa ajabu kabisa sikutarajia ungelijibu kijinga hivi haya ndio matatizo ya vyeti vya multiple choice kujua kuandika na kusoma unadhani na kufikiri UMEJUA, ANY WAY SIWEZI KUKULAUMU MAANA NDIPO UPEO ULIPOFIKIA, NIKUULIZE KUNA MTU ALIKUAGIZA AU KUKUTUMA KWA HAYA UNAYOTUELEZA? PILI WW NI NANI KWENYE HIYO FAMILIA KAMA SIO TU MNAFIKI NA MMBEA, TATU UMEISAIDIAJE FAMILIA BAADA YA HAYA UNAYOYASEMEA UMEYAKUTA,Pls Tulia(Sio naibu spika) chini soma, jipe muda kufikiri then ndio uandike vizuri maana tambua hapa uko kwenye level ya GREAT THINKERS sio kwenye level ya KUFITINIANA na UMBEA, We have to find SOLUTIONS FAIRLY, NOT MORE QUESTIONS AND PROBLEMS, KAJIPANGE KAKA.
 
Wala siyo ugomvi nendeni mkatimize ahadi mlizotoa
 
Kaulize kama hizo 100 Mil zimemfikia mjane wa Mawazo, zilivyopatikana tu zilichukuliwa na uongozi wa juu kwa kile kilichoitwa kulipa wanasheria na gharama za kumweka mwekiti mbowe pamoja na lowassa mwanza wakati wakishughurikia kesi ya maziko ya Mawazo
asante kwa kumfafanulia
 
Yaani mkuu kuna baadhi ya vijana humu sijui kama akili zao zinafanya kazi sawa sawa.....yaani yeye akishapewa habari na viongozi wake badala na yeye kutia fikra japo kidogo anaibeba kama ilivyo......

Inawezekana wakina Mbowe wamemwambia kuwa hizo fedha zote amepewa mjane......na yeye akaichukua kama ilivyo bila ya kuangalia hali halisi.....
tatizo lao hawataki kuambiwa ukweli
 
Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !

Hivi ni kweli walitoa hizo ahadi za kuwanunulia gari na kuwajengea nyumba?

Sitaki kuamini hilo.
 
Inatakiwa tufike mahali tujue kwamba kila jambo unalolifanya ni kwaajili yako na jamii yako lakn matokeo yoyote mabaya ya jambo unalolifanya utambue ni yako na familia yako..

Tofauti na hapo ni kutafutiana lawama bure hao waliokuwa wanaahidi na wao wanashida zao wajali za marehem kwann
kwa nini watoe ahadi za uongo
 
Mtoto wa Mawazo anakaa kwa Lema na Anasoma shule anayo soma mtoto wa Lema.....
 
Labda mm nikuulize tu ili kuweka kumbkumb sawa, hayo mazungumzo yenu yalitokana na nn?? uliitwa au ulijipeleka mwenyewe?? Na baada ya mazungumzo hayo ww binafsi ukionyesha kuguswa kwa hali ya juu ulichangia nn kwa familia hiyo....??? Hii ni habari ya 'kichochezi'
hii maada ni mchango tosha ujumbe utawafikia walengwa
 
Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
wale waliomuua wamuhudumie..na wanajulikana
 
Acha Kudanganya Umati Wa Watu
Kama ungekuwa mjuaji na unayetambua umhimu wa Mawazo kwa familia yake pia tungeona thread yako kulaani wauji chichiem ambao walitekeleza unyama huo, au tungekuona unashupaa kudai haki itendeke kwa walio tekeleza mauji hayo..! She on you.
 
Back
Top Bottom