CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Kwa asiyemjua book 7 (Ludo) atahangaika, huyu ni popo. Pole kijana usiyejitambua.
 
Bahati mbaya Makene unashindwa kutambua ushauri unaopewa na kuufanyia Kazi ujiridhishe..unapotoa kauli wewe ni kauli ya Chama.

Sidhani kama chama kina asili ya kupuuza ushauri kwa sababu ya kutokumuamini/ kumkubali mtoa ushauri.

Nikupe mfano moja rafiki yangu Tumaini nilikupa tahadhari ya moja ya masuala makuu yaliyo tokea ..na baada ya taarifa yangu kwako hukufanyia Kazi badala yake ukakimbiza hapa jf kwa ajili ya kupriempty

Natumai hukuwashirikisha viongozi wako je nini kilitokea Makene?.

Kumbuka kauli ya Nyerere kwa Mao juu ya kuwaruhusu watu wake wamuabudu mungu na wasipomkuta hawatakuwa wamepoteza kitu na wakimkuta watakuwa na sababu ya kusema tulikuabudu
 
Mohamedi Mtoi kajitolea maisha yake kwa Chadema leo anaambiwa asikae karibu na Dr.Slaa au Mbowe kama atakuwa nao lazima kuwe na watu wengine, leo Mtoi hana thamani, tulimwambia lakini Chadema na Mohamed wapi na wapi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene nilikuonya hapa mapema kabisa sasa unaona jinsi unavyogeuka dekio kwenye uzi huu? [h=2]Tunachukulia tahadhari kauli ya mawakala wa CCM kuhusu; Mwenyekiti Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Slaa[/h]Mkuu Pasco tuko pamoja
Chadema mmeishiwa Sera hamna jipya la kuwaeleza wananchi kilichobaki ni kutafuta habari za kuungaunga ili kumkweza Slaa na Mbowe. Hivi kwa akili zenu fupi Slaa na Mbowe wadhuriwe kwa lipi?? Hao wameshakuwa historian 2015 wanajizika kabisa, hivi kama kweli CCM inataka kuwadhuru basi wakala ndio awe Mohamedi Mtoi?? Acheni uzushi kama mnataka kuuana sababu ya pesa za ruzuku tafuteni sababu nyingine, acheni kuitumia CCM, mlimuua Chacha Wangwe kwa tamaa damu yake inawadhuru. Kamanda Mohamedi Mtoi umejikita ndani ya kundi la wanafiki angalia sana tembelea familia ya Mwangosi ili upate picha kamili ya hao binadamu, utatumika mwisho wake itakuwa kama Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Kwa haraka nilidhani ni tatizo la uandishi na uwezo wa kueleza, pengine wangeongea naye angetoa ufafanuzi. Nidyo maana nikasema wamskilize, wachunguze anachokisema kabla hawajakibeba ama kukibeza.

Kuongea naye kuna uwezekana wa nadharia / matukio matatu yanayoweza kuwa Matokeo ya kuongea naye ;ila wataalamu wa Usalama watakuwa na nadharia nyingi.Lakini suala kubwa hapa ni historia LUDO!
Hivyo Maelezo yake yanatosha kujenga nadharia na kuzifanyia kazi kwa Usalama na manufaa ya CDM,bila kupata maelezo ya ziada toka kwa mtu ambaye anaelekea kuwa double agent.
 
Mohamedi Mtoi kajitolea maisha yake kwa Chadema leo anaambiwa asikae karibu na Dr.Slaa au Mbowe kama atakuwa nao lazima kuwe na watu wengine, leo Mtoi hana thamani, tulimwambia lakini Chadema na Mohamed wapi na wapi.

hivyo Ndio CDM ilivyo, ni chama cha WENYEWE MBOWE &co
 
Last edited by a moderator:

Kamchunguze wewe kwani ndo uliyeona sababu ya kufanya hivyo!Akili ndogo isiongoze akili kubwa!
 
Mohamedi Mtoi kajitolea maisha yake kwa Chadema leo anaambiwa asikae karibu na Dr.Slaa au Mbowe kama atakuwa nao lazima kuwe na watu wengine, leo Mtoi hana thamani, tulimwambia lakini Chadema na Mohamed wapi na wapi.

kwa hiyo kumbe hofu yako ni jina na dini yake?!.udini umekukaa sana mkuu.pole
 
Last edited by a moderator:

wanabodi, nafanya tuu rejea, niliwahi kuwashauri nini Chadema kuhusiana na baadhi ya malaika wao ambao ni mashetani!.
Ushauri huu niliutoa 25th August 2014.

Kwa ushauri huu, watu humu ndani waliniita mimi ndio shetani!.

Thank
s God, Mungu ameanza kuwaonyesha nani malaika, nani shetani!.

Rejea kama hizi zinatu
saidia kukumbuka, nini kilisemwa lini, na nini kimetokea lini, hivyo next time, kitu kikisemwa, kisipuuze!.

siku zote nasisitiza humu, ni ukweli pekee tuu ndio utasimama mpaka mwisho!.

[h=3]CHADEMA msipuuzie ushaur!i[/h]Pasco
 
Huu Ushauri sidhani kama ulichukuliwa maana Tumaini Makene alishasema Chama hakina utaratibu wa kuchukua Ushauri kwa namna hii
 
Last edited by a moderator:
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
 
Tumaini makene sio mtu mzuri hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi

Mbona sijaelewa mkuu? kwani kifo cha kamanda Mtoi kina utata mahali.? Ushauri gani ulitolewa ambao ungeweza zuia ile ajali ya jana? sijaelewa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…