CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
CHADEMA ilishakuwa Giant haiwezi kutikiswa tena na umbea wa kitoto wa hivyo kutoka kwa watu kama akina Ludivick
 
mohamed Mtoi tulimpa wosia mimi na FaizaFoxy Chadema sipo hawakutaki angalia sasa umeanza kuwekewa zengwe.

CC: chama
Mkuu
Kamanda Mohamedi Mtoi na Ben Saanane ni vikaragosi vinatumiwa tu hakuna anayewataka Chadema, walitumwa kazi ya kummaliza Zitto wameshindwa kwa maana hawaihitajiki tena, ile ndoto ya kugombea ubunge Mlalo ndio imekwisha.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Mohamedi Mtoi naona unatoa kauli kama mwanamapinduzi angalia sana una familia inakutegemea kwa ufupi tu tembelea familia ya Mwangosi (R.I.P) ili upate picha kamili usijifananishe na Slaa au Mbowe hao ni matajiri wakubwa wanatumia watu wenye akili fupi kama zako.
 
Last edited by a moderator:
ACT kipo Singida kinajaza watu kwenye mikutano yake balaa, naona wewe Ludovick endelea kukipigania
 
kwahi hiyo munakubali alikuwa anamrekodi Rwakatare wakati anapanga UGAID?
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

Mohamedi Mtoi, Nipo tayari kuwa bodguard wako dhidi ya mnafiki na muuaji huyu!
 
Mtoa post, intelejensia yk ya ACT ushafanya kwa kiasi gani? mpk uwagize Intelejensia ya CHADEMA imchukuze Mohamed Mtoi?
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

Kweli Mkuu! hawa Waislamu lazima tuwafukuze kwanjia yoyote ile. Na yeye timwite msaliti.

Sent from my D5503 using Tapatalk
 
Mkuu
Kamanda Mohamedi Mtoi na Ben Saanane ni vikaragosi vinatumiwa tu hakuna anayewataka Chadema, walitumwa kazi ya kummaliza Zitto wameshindwa kwa maana hawaihitajiki tena, ile ndoto ya kugombea ubunge Mlalo ndio imekwisha.

kwahiyo hapa ndiyo MWISHO KABISA WA UWEZO WAKO ?
 
Last edited by a moderator:
Kweli Mkuu! hawa Waislamu lazima tuwafukuze kwanjia yoyote ile. Na yeye timwite msaliti.

Sent from my D5503 using Tapatalk
Bila shaka wewe si mwanachama wa CDM lakini shetani wa CCM unayetaka kuchonganisha CDM na waislamu.

CCM mmeshindwa uongozi sasa mnaanza hadi uchochezi wa kidini na kikabila ili watu wachukiane nyinyi muendeee kutawala. Hamna tofauti na waingereza waliogawanya watu ili watawale.
Tunawajua msitake kuwakimbiza waislamu CDM kwa uchochezi wenu wa kitoto.
 
Akili (kama unayo) imegota hapo.

Usifikiri Laki Si Pesa hajui anachokifanya. Anajua sana. Lengo ni kuchonganisha CDM na waislamu kwa maslahi si ya waislamu au watanzania ila kwa maslahi yao hao mashetani wachonganishi.
Lengo ni kuonyesha kuwa CDM haiwataki waislamu. Hizi ndizo mbinu za aibu kabisa zinazoashiria kuwa chama cha mapinduzi CCM kimeishiwa hadhi zote za kuwa chama tawala na sasa kimekuwa chama cha kishetani tu.
 
rubish
 
Imeandikwa: Utasikia tetesi za vita, ndugu kwa ndugu wakigombana, wafalme wakipambana na watu kukengeuka hapo ujue ni dalili za mwisho japo ule mwisho wenyewe bado.

Kila kukicha watu wanaitana wasaliti, tetesi za kudhuriana ndugu wa chama kimoja!
 
kwahiyo hapa ndiyo MWISHO KABISA WA UWEZO WAKO ?
Sina muda kujibizana na MTU bahau mwenye akili za kushikiwa, mmetiwa akili za ujinga kujigeuza wapigania Uhuru angalieni familia ya Mwangosi kabla hamjajitoa mhanga, mtaacha watoto wenu wanateseka, Slaa na Mbowe hawana muda wa kutunza familia zenu wakipiga picha za promo kwenye magazeti mchezo umekwisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom