MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
We unaona hii ni sura ya kushindwa. Toka hapa
![]()
Nani kampa hiyo nafasi ya kugombea? Mbowe au Slaa?

Hivi unadhani inafurahia chadema ikishinda popote? Hebu anza hapa.
1.Uchaguzi mkuu 2010 ambapo Chadema iliinyang'anya ccm majimbo na kata huku Chadema ikiendelea kulinda idadi ya kata na majimbo yao ya awali.
2. Chaguzi ndogo Chadema iliendeleza ubabe huo kwa ccm.
Mafanikio haya si ya kubezwa hata kidogo kwakuwa si tu yaliongozwa na Viongozi Shupavu, imara wa Chadema Bali ni mafanikio ya Makamanda wote wa Chadema nchi nzima!. Kumbuka kuwa Chadema inafanya kazi kama team si kama unavyoiona ccm ambayo kimsingi inakufa kwa ajili ya udhaifu na mfumo was viongozi.
Pia kumbuka kuwa Chadema inakwenda kwenye uchaguzi huu ambao obvious si huru na haki ambao ni sawa na kucheza na team ambayo refa ndiye mmiliki wa team pinzani.
#Sometimes you have to think thrice not twice

mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.
Katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.
Sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.
N/b: Ccm is stabilizing, chadema is shrinking and cuf is disappearing!!! Kitila mkumbo (phd)
mkuu , hivi pale makao makuu kitengo cha ugaidi na utekaji wewe na lwakatare nani anakiongoza kitengo?
Acha kujishaua, Usidhani watanzania wamesahau madhambi yako!
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.
katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.
sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.
N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)
Mna matatizo ya kufanana.
Vichwa vingine ni shake well before use'

Afu ccm inavyoporomoka wanalaumu CHADEMA ilhali wameweka matikiti maji kama hayo eti yaitetee ccm mitandaoni.
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.
katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.
sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.
N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)
Wewe weka kata 22 ngome za ccm utuambie kwa nini ccm inachekea wakati INAPATA USHINDI WA TABU?Hebu weka matokeo halisi kutoka kule kwenye ngome yenu Sombetini, ccm kura ngapi na chadema ngapi?
Rambirambi za mjane ziko wapiKwa nini msiwafukuze sasa kwa sababu tayari wameishashindwa kabla mchakato haujaanza.
Nani kampa hiyo nafasi ya kugombea? Mbowe au Slaa?
Rambirambi za mjane ziko wapi
Acheni porojo. Ushauri mzuri huo, ufanyieni kazi. La sivyo mtaendelea na style yenu ile ile ya kulia lia kila baada ya uchaguzi.