CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

Hivi utaacha lini upuuzi wako huo, hizo hesabu na majibu ya kisayansi wa kupewa ni wewe au nani, hivi hao wanaokutumia wanalikulipa tsh ngapi. Any way usipate shida, muandae mama yako na baba yako, changanya na familia yako ukiwemo wewe tuwape uongozi, maana sisi wenye chama tunaridhika na kazi wanayofanya viongozi wetu, ila kumbuka, dua la kuku halimpatagi mwewe.
 
Yule mama sijui kama atavumilia mikiki mikiki ya police,,,,,tusikie MGIMWA JR kapita pila kupingwa,,mama hajulikani aliko
 
Hivi utaacha lini upuuzi wako huo, hizo hesabu na majibu ya kisayansi wa kupewa ni wewe au nani, hivi hao wanaokutumia wanalikulipa tsh ngapi. Any way usipate shida, muandae mama yako na baba yako, changanya na familia yako ukiwemo wewe tuwape uongozi, maana sisi wenye chama tunaridhika na kazi wanayofanya viongozi wetu, ila kumbuka, dua la kuku halimpatagi mwewe.

chadema inaongozwa na viongozi viazi, na wanachama wao nao ni viazi...magari mabovu yanakokotana
 
Wazo zuri abakora uongozi wa chadema hakuna jipya tukishindwa hapo piga chini wote Zitto aongoze
 
Wapigwe chini kwanza viongozi wa CCM wanao vunja haki kwa raia wanaotaka seekali 3 kwa kuwalazimisha kufuata matakwa yao ya serekali 2.

Sio kila mwananchi anataka 3 wengine wanahitaji 1 na wengine 2. Acheni kuhubiri et 3 za wananchi!
 
Haya ndo matatizo ya kufikiri kwa kutumia masa--buri!!! Chaguzi ndogo zipi CHADEMA imepitwa kwa mbali na CCM.. Kama ni kata CHADEMA wametetea kata zao tatu, kama ni Ubunge CHADEMA hawajapoteza zaidi ya kulichukua Jimbo la CCM kule Arumeru!!!..

Hiyo njaa yako itakupeleka pabaya...buku 7- isikuondolee sifa ya kufikiri na kutafakari kama binadamu huru...

Nadhani, ingekuwa vema katika kipindi hichi tunachoelekea uchaguzi mkuu tungeona mabadiliko chanya katika idadi ya viti tunavohodhi kuanzia ngazi za mtaa,kata na jimbo.

Tukumbuke kwamba chaguzi kama hizi za udiwani ndizo zinatoa picha kamili za ukuaji wa chama kwani huko ndipo tunakutana na wananchi moja kwa moja na ni kwa kupitia kata hizo hizo ndipo tunaweza pata picha halisi ya mtazamo wa wananchi juu ya sera za chama.

Ukiweza tetea tu ulizokuwa nazo bila kuongeza zingine, inaonesha udumavu wa sera na watu walio namapenzi tu pasipo kuwa na mwamko chanya.

Kama utaweza fanikiwa kuongeza idadi ya kata kwenye chaguzi inatoa picha nzuri ya uwezekano wa kuchukua jimbo husika, labda.. pengine labda tunaweza sema hata uchaguzi mkuu wa urais inaweza kuwa vema.

Tukikaa na kusema kama unavo sema, hakutakuwa na haja ya msingi kuja kulalamika hapo mbeleni juu ya viti ama nafasi tutakayopata ktk chaguzi zijazo .. maana "situtakuwa tumetetea viti vile vile.. na kuongeza vichahce tu.."
 
Kalenga ccm itashinda sio kwa sababu inapendwa na wana kalenga, la hasha! Bali polis watasaidia ushindi kwenda ccm kwa kuwabana wapinzani! Pia rushwa zitagawiwa kama njugu huko kalenga ikiwemo kanga na hata wali, hivo wahehe wajiandae kula nyali za maccm!
 
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.

katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.

sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.

N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)

Hoja dhaifu sana
 
Very very true.In a broad sense ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2010 Upinzani hasa CDM imekua ikisumbuliwa na matatizo ya viongozi wake wa juu.Viongozi hawaaminiani,wanachama wananyoosheana vidole na kumtafuta msaliti badala ya kujijenga.Wananchi wanatamani mabadiliko na kuachana na ccm ila hawawaelewi hawa wapinzani.Ni chungu kumeza lakini CCM mpaka sasa ndiyo ina nafasi kubwa zaidi ya kushinda 2015,Its theirs to lose!!!
 
Acheni porojo. Ushauri mzuri huo, ufanyieni kazi. La sivyo mtaendelea na style yenu ile ile ya kulia lia kila baada ya uchaguzi.

Wapi na wapi Magamba mkatuonea huruma? Pu.mba.vu kabisa kwendeni zenu, Ya kwenu yamewashinda mnag'ang'ania ya CDM. Jadili ya akina Manvi,Sokwe,Mende,Makatani,Geresha.
 
Hebu weka matokeo halisi kutoka kule kwenye ngome yenu Sombetini, ccm kura ngapi na chadema ngapi?

Wewe haujitambui kabisa na akili yako haipo sawa kata ya Sombetini tangu lini ilikuwa ngome ya CDM? Kata hii ilikuwa chini ya CCM na katika uchaguzi huu imechukuliwa na CDM hivyo hii kata ilikuwa ngome ya CCM na sio CDM. Wakati mwingine ni vema ukachunguza kabla ya kuandika.
 
<br>
KWENYE ELECTION KUNA MAMBO MAKUU MAWILI, KUSHINDA AU KUSHINDWA!! What matters is whether you win or lose mambo ya kusema kura zimeongezeka au kupangua siyo ishu sana, elewa pengine kuna wapiga kura waliotangulia mbele za haki, wengine wamehama maeneo yao ya awali, kuna wagonjwa na other factors -so swala la kura kupungua ni possible kabisa!!<br>
<br>

Kindergarten analysis. ..
Tunaongelea percentage
 
Mkuu
Ikiwa anayetaka kutetewa ana kichwa change 2X2-4, obviously anapaswa kutetewa na hizi shake well before use'

mkuu. wewe hustahili kuishi na jamii na raia wema, mahali pako unapotakiwa kuishi ni gerezani tu..
 
Ccm kama ni Chama makini na kama kinaimani kinakubalika waache kutumia rushwa ,Wizi wa kura na kutumia nguvu ya police na usalama wataifa.Hapo tutaamini ccm ni chama makini na kinapendwa.Siyo propaganda nyingi na woga tu.Hizo tabia zenu zinaonyesha jinsi gani hamji amini.Nyie kutwa kujigamba tutashinda uchanguzi kwa kishindo wakati kazi ni kununua wapiga kura pamoja na mbinu za kuiba kura.Shame on u
 
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.

katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.

sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.

N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)
Mkuu ungesoma kwanza kabla hujalibandika bandiko lako, ingesaidia kuweka uzi mzuri wenye mvuto. Umesem uongozi wote upigwe chini lakini hapo hapo unajivua nguo kwa kuweka mlengo wako siyo rahisi kukuchukulia serious. Mwisho, siyo PHD ni Ph.D.
 
Back
Top Bottom