CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

Kwa nini msiwafukuze sasa kwa sababu tayari wameishashindwa kabla mchakato haujaanza.

Rudisha rambirambi za mjane wa Mwangosi...Mtu mzima hujisikii aibu kula rambirambi...really!!! look at you
 
naona huyu anawanyima usingizi
1780729_695910467120656_1950473885_n.jpg
 
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.

katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.

sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.

N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)

acha utoto ndugu,zile chopa hazikuwa kwa ajili ya kampeni za udiwani,ndiyo maana zilikwenda hadi maeneo mengine hapakuwa na uchaguzi,we boya
 
<br>
KWENYE ELECTION KUNA MAMBO MAKUU MAWILI, KUSHINDA AU KUSHINDWA!! What matters is whether you win or lose mambo ya kusema kura zimeongezeka au kupangua siyo ishu sana, elewa pengine kuna wapiga kura waliotangulia mbele za haki, wengine wamehama maeneo yao ya awali, kuna wagonjwa na other factors &nbsp;so swala la kura kupungua ni possible kabisa!!<br>
<br>

mkuu, nani kakuambia chadema ni chama cha siasa? chadema ni chama cha ukoo na viongozi wake ni wana ukoo sasa kwenye ukoo wake, ? wa kupigwa chini ni wakina mchungaji msigwa, sugu, tundu lisu, kwa sababu sio wana ukoo..
 
Kwa nini msiwafukuze sasa kwa sababu tayari wameishashindwa kabla mchakato haujaanza.
We lukosi, uko wapi? Unatafutwa kuokoa jahazi huku kalenga. Unabwabwaja kwanye mtandao tu. Au uko nje ya nchi unabeba maboxi.
 
Kwani nijuwavyo mm ukichukuwa eneo jimbo la mwenzako ndio unajinasibu kama umefanikiwa na kujipa ujasiri na kumpa onyo mwenzako ucjaguzi mwingine tu na chukuwa nchi lakini kila uchaguzi ukipita ww una pata chini ya asilimia 40 bado unamatumaini ya kuchukuwa ncho ni ndoto za kwenda ulaya bila paspot au tiket nyambafu
 
Hivi ile Kata ilikuwa ya CHADEMA..? Nani asiyejua Sombetini ilikuwa ngome ya CCM? Nani asiyejua uchaguzi Sombetini uliahirishwa makusudi ili CCM ijipange kuitetea Kata hiyo lakini bado wamepigwa chini? Nani asiyejua CCM mijini imekataliwa? Nani asiyejua CCM inatumia umaskini na ujinga wa watanzania walioko vijijini...

Nasema CCM inalaana kubwa sana... Hata wewe mwenyewe huwezi kukatiza peke miji kama ya Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Moshi na sehemu nyingine ukiwa umevaa fulana yako ya CCM..au la lazima mtakuwa kwenye vikundi vikundi... aibu ya wengi harusi...

Nani asiyejua Gwanda la CHADEMA linamuongezea mtu kujiamini, kujielewa, kujitambua na ni ishara ya ushindi dhidi ya dhuruma?

Mbona mi navaa ya kijani na mbele ya nyumba yangu kuna bendera ya kijani na niko Mwanza mjini na haiwi chochote! Au ndio unataka kuleta siasa zenu za kumuadhibu mtu hata akiwa na namba ya cm ya Zitto? Chadema mnatia huruma mmefulia!
 
Acheni porojo. Ushauri mzuri huo, ufanyieni kazi. La sivyo mtaendelea na style yenu ile ile ya kulia lia kila baada ya uchaguzi.

Kwa taarifa yako CCM haijawahi kushinda kinachoshinda ni pesa na wizi wa kura.
 
naona huyu anawanyima usingizi
1780729_695910467120656_1950473885_n.jpg

Nani, huyu " Wile" Hana lolote mzinifu tu, kazi ya Mungu imemshinda anabaki kula kondoo wa bwana na kuiba wake za watu! Ndio maana anachakaa kila kukicha!
 
Kwani Uchaguzi wa Kalenga ni kipimo cha uongozi wa Chadema? Go to hell..
 
mkuu, nani kakuambia chadema ni chama cha siasa? chadema ni chama cha ukoo na viongozi wake ni wana ukoo sasa kwenye ukoo wake, ? wa kupigwa chini ni wakina mchungaji msigwa, sugu, tundu lisu, kwa sababu sio wana ukoo..

Kweli wewe ndiyo kabisaa.Unasema CHADEMA ni chama cha ukoo viongozi wake ni wa ukoo halafu Sugu,Lisu,Msigwa si wanaukoo.
 
Hivi unadhani inafurahia chadema ikishinda popote? Hebu anza hapa.
1.Uchaguzi mkuu 2010 ambapo Chadema iliinyang'anya ccm majimbo na kata huku Chadema ikiendelea kulinda idadi ya kata na majimbo yao ya awali.

2. Chaguzi ndogo Chadema iliendeleza ubabe huo kwa ccm.

Mafanikio haya si ya kubezwa hata kidogo kwakuwa si tu yaliongozwa na Viongozi Shupavu, imara wa Chadema Bali ni mafanikio ya Makamanda wote wa Chadema nchi nzima!. Kumbuka kuwa Chadema inafanya kazi kama team si kama unavyoiona ccm ambayo kimsingi inakufa kwa ajili ya udhaifu na mfumo was viongozi.

Pia kumbuka kuwa Chadema inakwenda kwenye uchaguzi huu ambao obvious si huru na haki ambao ni sawa na kucheza na team ambayo refa ndiye mmiliki wa team pinzani.

#Sometimes you have to think thrice not twice
 
Back
Top Bottom