CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

Hebu weka matokeo halisi kutoka kule kwenye ngome yenu Sombetini, ccm kura ngapi na chadema ngapi?

Yaani hata hujui kuwa Sombetini imechukuliwa toka kwa ccm..!? Ushabiki wa kushabikia kama umechomolewa kichwa utakuumbua.
 
CCM ikipata kura chache zaidi ya ilizopata 2010 huko Kalenga uongozi wote upigwe chini. ..
 
Hivi we gamba kwa akili yako unadhani kwa wizi wa kura mnaofanya hadi kwenye bunge la katiba,unategemea matokeo gani huko kalenga?
 
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.

katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.

sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.

N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHIRKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)

Ikiwa Magamba Mmeshindwa kuwatimua wakiuka Kanuni, vp leo uwashauri CDM kuchukua maamuzi magumu kwa Chaguzi ambazo bado kinaonyesha ukomavu?
Ingependeza Sana endapo ungewauliza Magamba kwa miaka yote waliokaa Kileleni, imekuaje wasiivunje Ngome ya CDM?
Chaguzi zimeonyesha kua CDMA katetea viti vyake na CCM pia..
Tambua kua CDM sio chama Mhamiaji, bali hadi kufikia hapo kilipo, imepokonya wanachama toka CCM...
Hivyo bado CDM ni Mwiba kwa MaCCM..
 
Ndiyo hapo sasa? Magamba hawajitambui,wanaruka na kukanyagana.

Acheni porojo. Ushauri mzuri huo, ufanyieni kazi. La sivyo mtaendelea na style yenu ile ile ya kulia lia kila baada ya uchaguzi.
 
huu upotoshaji wenu ni wa kipuuzi.Chopa zilitumika kwenye OPD ikiwa ni Operesheni ya ujenzi wa chama katika mikoa na sehemu mbali mbali za nchi!Kama kuna Chopa iliyotumika purposely kwa ajili ya kampeni za uchaguzi wa Madiwani hiyo ni ya kwenu CCM.Pili, hamasa iliyopo kwa sasa ni kubwa, chama kinazidi kuimarika, tukifanya statistical analysis ya huko pote CCM walipochukua udiwani mwaka huu 2014 ukalinganisha na 2010, utaona kuna idadi imeongezeka kwenye kura za CDM tofauti na ilivyokuwa 2010.Hayo si mafanikio ya kubeza hata kidogo. Pia kuna wengi hawajaweza kupiga kura kwa sababu mbalimbali, ambao wote wana vyama vyao,la kufanyika ni uhamasishaji wa kupiga kura, uboreshwaji wa daftari la wapiga kura, na uboreshwaji wa mazingira ya kupiga kura!Wapiga kura waliopo Kalenga ni wale waliopiga kura 2010 wakaipa ushindi CCM, wenye advantage kubwa ni CCM bado, CDM wanaenda kujaribu kulipoka hilo jimbo, chances are that, CCM HAVE THE BETTER CHANCES OF WINING THE ELECTION THAN CDM.Ikitokea CDM wakachukua mwenye hasara ni CCM.Ngojeni nikale kwanza ntarejea

Aaaaaaaahhhhhhhh! owkey! aiseeeeee!
 
CCM ikipata kura chache zaidi ya ilizopata 2010 huko Kalenga uongozi wote upigwe chini. ..
<br>
KWENYE ELECTION KUNA MAMBO MAKUU MAWILI, KUSHINDA AU KUSHINDWA!! What matters is whether you win or lose mambo ya kusema kura zimeongezeka au kupangua siyo ishu sana, elewa pengine kuna wapiga kura waliotangulia mbele za haki, wengine wamehama maeneo yao ya awali, kuna wagonjwa na other factors &nbsp;so swala la kura kupungua ni possible kabisa!!<br>
<br>
 
Kule mpaka ulanzi hufanya kazi wakati wa uchaguzi, it is very unpredictable, labda tusingekuwa na watu kama akina Chris Lokokosi.
 
Ebu jibu la kubadili uongozi CDM liwe...'tunasubiri mmfukuze EDO' kuna side wakisikia hili huwa wanakua wapole sn nahisii kupata results flani hapa nisaidieni...
 
Yaani hata hujui kuwa Sombetini imechukuliwa toka kwa ccm..!? Ushabiki wa kushabikia kama umechomolewa kichwa utakuumbua.

kwani si mlisema Arusha hakuna chama kingine zaidi ya chadema!
 
Away!$!!!"!! Mtoa hoja hapohapo tuachane NA makelele yao ""!!!! Chadema awana hoja c zet c hoja tu! !!!!!! Pamoja sana!!!!!! Kidumu chama tawala!!!!!!
 
CCM wanaiba hao! nyie msiwachukulie poa. Nimejionea mwenyewe Moro. Halafu wanahonga mpaka Chadema.
 
Kwa nini msiwafukuze sasa kwa sababu tayari wameishashindwa kabla mchakato haujaanza.
 
Hebu weka matokeo halisi kutoka kule kwenye ngome yenu Sombetini, ccm kura ngapi na chadema ngapi?

Hivi ile Kata ilikuwa ya CHADEMA..? Nani asiyejua Sombetini ilikuwa ngome ya CCM? Nani asiyejua uchaguzi Sombetini uliahirishwa makusudi ili CCM ijipange kuitetea Kata hiyo lakini bado wamepigwa chini? Nani asiyejua CCM mijini imekataliwa? Nani asiyejua CCM inatumia umaskini na ujinga wa watanzania walioko vijijini...

Nasema CCM inalaana kubwa sana... Hata wewe mwenyewe huwezi kukatiza peke miji kama ya Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Moshi na sehemu nyingine ukiwa umevaa fulana yako ya CCM..au la lazima mtakuwa kwenye vikundi vikundi... aibu ya wengi harusi...

Nani asiyejua Gwanda la CHADEMA linamuongezea mtu kujiamini, kujielewa, kujitambua na ni ishara ya ushindi dhidi ya dhuruma?
 
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.

katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.

sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.

N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)

acha kukuza mambo wewe!huo uchaguzi wa nchi nzima ulifanyika mwaka gani?ni kwa nin usiwashauri magamba wenzio unaishauri chdm inakuhusu nin?
 
Hebu weka matokeo halisi kutoka kule kwenye ngome yenu Sombetini, ccm kura ngapi na chadema ngapi?

Kumbuka Sombetini ilikua chini ya CCM....Unalijua hilo? CHADEMA wameichukua kata iliyokuwa chini ya CCM ikiongozwa na Alphonce Mawazo....Tatizo lenu Ma CCM mna akili za maiti
 
Back
Top Bottom