Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Mpaka sasa uongozi wa juu wa chadema umeshindwa kutoa majibu/maelezo ya kisayansi na sababu zenye mashiko kwanini chama kimeshindwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani na kuambulia viti 3 tuu nchi nzima. Pamoja na kutumia chopa 3 na mabilioni ya hela bado chadema waligaragazwa vibaya sana na chama makini ccm katika uchaguzi huo mdogo wa udiwani.
katika chaguzi zote ndogo chadema imeendelea kupitwa kwa mbali na ccm lakini Uongozi umeshindwa kuchukua maamuzi magumu na kurudi sababu zile zile za kitoto.
sasa tunaenda katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, ambao huu utakuwa ni kipimo cha mwisho kuelekea 2015, kama ikitokea chadema wakashindwa tena katika uchaguzi huu then ni vyema busara ikatumika na uongozi wa wote wa juu ukajiuzuru kukinusuru chama na aibu kubwa ya 2015.
N/B: CCM IS STABILIZING, CHADEMA IS SHRINKING AND CUF IS DISAPPEARING!!! KITILA MKUMBO (PHD)