TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta srious negative implications), but to be on the safe side tangulia nyinyi mahakamani!
Heche, kukaidi bila kuchukua hatua stahiki hakutasaidia
AU ALTERNATIVELY FANYA KAMA ACT WALIVYOFANYA: SOMA HAPA Erythrocyte TAKE NOTE OF THIS PLEASE
www.jamiiforums.com

PreGE2025 - Ado Shaibu: Msajili alitukatalia teuzi, tukamalizana kibingwa, CHADEMA wamalize mechi ''Kibingwa''
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri...