CHADEMA bwana

CHADEMA bwana

Pro-CDM kama vile makinda ya bata wote wamekuwa Mateka wa Mbowe na Slaa.
Kwenye mkutano wao Mbowe kawambia Mateka wake baada ya mwezi wajiandae kufanya maandamano ya kuvamia ofisi za Manispaa

Issue siyo seriksli ni vision ya kuyatekeleza hayo unayoyahubili ? usiwaambie watu unauwezo wa kumaliza umasikini wao bila fomula? chadema wanaongeza miji mingi lakini tangu wapewe hali ni mbaya zaidi sasa unataka tuamini vipi kuwa uwezo mmnao?
Wewe ni muongo kama huyo mpumbavu wenu huko huko bungeni ulikuwa unaijua musoma ya mwaka jana unaijua ya leo baada ya miezi 8...kama huna kumbukumbu usiongee tu kama punguwani...

so tume ilikunyima kupiga kura?

Hujanielewa, usiwe fasta kwenye kujibu, mimi nilipiga kura na kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Kikwete alishinda. Na kwa mujibu wa Katiba sitakiwi nihoji chochote, natakiwa nikubaliane na matokeo tuu

Pro-CDM kama vile makinda ya bata wote wamekuwa Mateka wa Mbowe na Slaa.
Kwenye mkutano wao Mbowe kawambia Mateka wake baada ya mwezi wajiandae kufanya maandamano ya kuvamia ofisi za Manispaa
wewe ni mataka wa nape....safari hii tukiandamana tutakuwa kamili wole wenu na hao mbwa wenu mtupige mabomu ya machozi na risasi tutaanza na viofisi vyenu halafu tutamalizia vituo vya polisi...

kuna mahali uliniona natafuta mpenzi?

ww ulingia jf iliupate mpenzi ndio maana ukachagua ID ya kimahabamahaba"bebii",nakutafutia post uliyosema utabanana jf mpaka umpate mume,huku sahau mtoto nenda Facebook!bebii usitumie tena hayo makalio kufikiri umesikia mtoto mzuri! Nenda kakojoe upumzike!

Acha dharau wewe majimbo yaliyochukuliwa na cdm hayana kitu kinaitwa njaa, hospital ni nyingi kuliko idadi ya watu, shule usiseme na majimbo yao umeme ni full na mandhari ni kama ulaya ulaya vile si unajua mambo ya magadeni ya kumzikia na mazagazaga kibao ya kupendezesha miji? we chukulia mfano wa hai na karatu huwezi kukuta watu wana shida hata kidogo. !

duh! Bila shaka wewe utakuwa ni mwehu!

hujanielewa, usiwe fasta kwenye kujibu, mimi nilipiga kura na kwa mujibu wa tume ya uchaguzi kikwete alishinda. Na kwa mujibu wa katiba sitakiwi nihoji chochote, natakiwa nikubaliane na matokeo tuu
uhoji nini na ameshinda kweli chadema si mlilala nyumbani huko. Mnachonga tuu mbona hamuwapigii watu makelele kwanini hawakupiga kura? Hamuoni ilo ni tatizo?

Pro-CDM kama vile makinda ya bata wote wamekuwa Mateka wa Mbowe na Slaa.

Kwenye mkutano wao Mbowe kawambia Mateka wake baada ya mwezi wajiandae kufanya maandamano ya kuvamia ofisi za Manispaa

makalio yameamua kufikiri....akili zako bado sana!

walivofichua hayo mambo wewe umesaidika vp?

bebii! Hebu fikiria kiundani, wasingefichua wewe ungenufaika vip? Hilo ni swali ambalo ww jibu lako utakuwa unalijua but unaignore! 🙁

Hujanielewa, usiwe fasta kwenye kujibu, mimi nilipiga kura na kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Kikwete alishinda. Na kwa mujibu wa Katiba sitakiwi nihoji chochote, natakiwa nikubaliane na matokeo tuu
hapa ndipo kwenye balaa ukizingatia tume alie ichangua ni kati ya wagombea au ni kada wachama kimoja wapo unategemea nini

Pro-CDM kama vile makinda ya bata wote wamekuwa Mateka wa Mbowe na Slaa.
Kwenye mkutano wao Mbowe kawambia Mateka wake baada ya mwezi wajiandae kufanya maandamano ya kuvamia ofisi za Manispaa
Kuna siku utakuja kuyameza maneno yako haya.

ww ulingia jf iliupate mpenzi ndio maana ukachagua ID ya kimahabamahaba"bebii",nakutafutia post uliyosema utabanana jf mpaka umpate mume,huku sahau mtoto nenda Facebook!bebii usitumie tena hayo makalio kufikiri umesikia mtoto mzuri! Nenda kakojoe upumzike!
heri mimi natumia hayo wewe unatumia nini? kichwa lakini unafikiria upupu

Issue siyo seriksli ni vision ya kuyatekeleza hayo unayoyahubili ? usiwaambie watu unauwezo wa kumaliza umasikini wao bila fomula? chadema wanaongeza miji mingi lakini tangu wapewe hali ni mbaya zaidi sasa unataka tuamini vipi kuwa uwezo mmnao?

Kumbe majuha mpo wengi,sasa anayekusanya kodi ni chadema au serikali ya ccm?hata watoto wadogo wakikusikia watakucheka,USIWE NDUSTI HIVYO.

i am sure akili yako haiko sawa! kazi ya chama ni nini????soma kazi za chama cha siasa ni nini arafu urudi!!!!!!!!!!!!!!shame on u!

Back
Top Bottom