Zungumza na mimi, siyo wao.lakini mnataka ya kwenu watu wa nje waingilie si ndio
Mimi sikuzote nawazungumzia waTanzania, hao wa nje ni nyongeza tu ya juhudi zetu.
Kwa hiyo kama unataka mjadala juu ya hilo, tutakwenda sawa.
Zungumza na mimi, siyo wao.lakini mnataka ya kwenu watu wa nje waingilie si ndio
Hivi uenda wazimu huoni ulivyo. Ni nani hujaza mada za kiwenda wazimu humu zote zinazohusu maslahi ya kundi badala ya nchi!Mwambieni mwenzenu aweke na mm niweke. Tumechoka matusi kutoka kwa wendawazimu.
EEEEnHEEEE!Weka ya kwako tuisome hasi tu broo!!!
Usipoiwwka ya kwako, nitakusamehe! Ahahahahaha!!
Weka yako, ww ndio unaniita kilaza! Kigwangala sina shida naye.
Kama mtu hasikii na kipofu hawezi kujua yanayoendelea watu wanaona kampeni inaelekea kufanikiwaNdiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.
Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
Heche ni cha mtoto kwangu!EEEEnHEEEE!
'Mtoto wa shule', ile ya St. Augustine vipi, uliweka, tuone inavyoshindana na ya Mh. Heche!
Usifikiri mimi ni limbukeni kama huyu anayepigana juu chini apate uteuzi kwenye serikali inayowatendea maovu waTanzania.
Mimi sipiganii chochote, nje ya maslahi ya Tanzania tu, basi.
Comrade kwanza umenikosea sana! Pamoja nakuwa huwa naiweka wazi itikadi yangu, makala zangu zote nilizoandika, kupongeza, kukosoa na kushauri serikali, chama tawala na vyama vya upinzani huwa hazina misingi ya itikadi. Sina hakika kama wenzangu wanaojitanabaisha kuwa makada wa CCM wanaamini mm ni mwenzao kutokana na machapisho yangu kumhusu Tundu Lisu, Askofu Gwajima, maswala ya utekaji, haki jinai na kufunga makanisa.Hivi uenda wazimu huoni ulivyo. Ni nani hujaza mada za kiwenda wazimu humu zote zinazohusu maslahi ya kundi badala ya nchi!
Comrade kwanza umenikosea sana! Pamoja nakuwa huwa naiweka wazi itikadi yangu, makala zangu zote nilizoandika, kupongeza, kukosoa na kushauri serikali, chama tawala na vyama vya upinzani huwa hazina misingi ya itikadi. Sina hakika kama wenzangu wanaojitanabaisha kuwa makada wa CCM wanaamini mm ni mwenzao kutokana na machapisho yangu kumhusu Tundu Lisu, Askofu Gwajima, maswala ya utekaji, haki jinai na kufunga makanisa.
Every time I write about my skepticism on No reform, No election, you always attack me personally with prejudice. This is not fair. Tuyatumie haya majukwaa kujenga sio kutukana watu tusiowajua.
Kupongeza serikali na kukosoa upinzani sio dhambi.
Mkuu 'Adam Francis'; hii uliandika ukitafuta kazi wapi?Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku useme CV yake.
Hoja za CHADEMA zina ukweli, ila approch yao hata Jaji Warioba alisema ina changamoto.Dr,
..achana na wanaotaka kukutoa kwenye reli.
..hebu turudi katika mada yake kwasababu ni mada nzuri.
..swali langu kwako ni kuhusu mazuri na mapungufu katika Tume na utaratibu mzima wa uchaguzi.
..Ni mambo gani ungependa yabakie kama yalivyo?
..Pia yapi unadhani yanafaa kubadilika?
..Naomba kuwasilisha.
Sasa na yeye tumwombe alete CV yake hapa ili tulinganishe na ya kwako, hatuwezi kuona tu tofauti kubwa iliyopo kati yenu kwa maswala ambayo kila mtu anayaona katika matendo yenu?Heche ni cha mtoto kwangu!
Yangu ipo mitandaoni. Kazi rahisi sana kui upload. Ishu ni ya kwako. Utaiweka? Ahahahahaha!!Sasa na yeye tumwombe alete CV yake hapa ili tulinganishe na ya kwako, hatuwezi kuona tu tofauti kubwa iliyopo kati yenu kwa maswala ambayo kila mtu anayaona katika matendo yenu?
Mkuu mm sitafuti kazi tena, nimeshakuwa senior officer sasa, nikiacha kazi sasa, labda iwe kwenda kwenye International Organisation! By the way, humu jamii forum kuna watu kibao wananifahamu, nasema hivyo kwasababu wananitext DM, sometimes, kunisalimu, sometimes kunikumbusha tulikotoka, sometimes kunionya ninapokosoa kwani ID yako siyo fake.Mkuu 'Adam Francis'; hii uliandika ukitafuta kazi wapi?
Unaandika CV ya namna hii kweli kwenye ushindani, unategemea kuPata kazi, kama siyo kwa mbeleko?
Kitu kama hiki, unaokiweka haPa ni kudanganyia watu wasiokuwa na uzoefu wa maswala kama haya.
Halafu unadai na mimi niweke yangu, nishindane na kitu kama hiki?
Hata kama ingekuwa inawezekana kuweka, nisingejihangaisha .
Mkuu, nitapenda sana kujibu hoja kama hii hapa. Wewe siyo "mjenzi", wewe ni "mbomoaji"; tena ; 'ruthless' mbomoaji kwelikweli.Comrade kwanza umenikosea sana! Pamoja nakuwa huwa naiweka wazi itikadi yangu, makala zangu zote nilizoandika, kupongeza, kukosoa na kushauri serikali, chama tawala na vyama vya upinzani huwa hazina misingi ya itikadi. Sina hakika kama wenzangu wanaojitanabaisha kuwa makada wa CCM wanaamini mm ni mwenzao kutokana na machapisho yangu kumhusu Tundu Lisu, Askofu Gwajima, maswala ya utekaji, haki jinai na kufunga makanisa.
Every time I write about my skepticism on No reform, No election, you always attack me personally with prejudice. This is not fair. Tuyatumie haya majukwaa kujenga sio kutukana watu tusiowajua.
Kupongeza serikali na kukosoa upinzani sio dhambi.
Sijaendekeza PoPote niiweke, mimi siyo mwendawazimu.Yangu ipo mitandaoni. Kazi rahisi sana kui upload. Ishu ni ya kwako. Utaiweka? Ahahahahaha!!
Jamaa kashaleta vyeti vyake au anaogopa uhakiki ?Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku useme CV yake.
Well, nadhani tukubaliane kutokukubaliana ili maisha yaendelee.Mkuu, nitapenda sana kujibu hoja kama hii hapa. Wewe siyo "mjenzi", wewe ni "mbomoaji"; tena ; 'ruthless' mbomoaji kwelikweli.
Ungekuwa na chembe hata ndogo ya ujenzi ndani ya mada zako, sina shaka hata kidogo kuwa ningeziona na kuzipa nafasi.
Sioni chochote toka kwako kinachohusu ujenzi wa taifa letu lenye umoja chini ya uongozi huu ulioo madarakani.
Huwa sibahatishi; nielewe tu hivyo.
Huyo CV yake ni kukosoa CcmMwambieni mwenzenu aweke na mm niweke. Tumechoka matusi kutoka kwa wendawazimu.
No reform no elections ni null and void agenda katika ulimwengu wa demokrasia 🐒April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.