GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sayansi ya siasa ni ngumu sana upepo unaweza kubadilika hata siku mbili baada ya uchaguzi CDM haiwezi kuzuoa Uchaguzi ila Watanzania wakitaka na kuamua na kusahau njaa zao wanaweza kujipambania
Watu wenye akili finyu kama huyo mleta mada, ikichangiwa na njaa inayowapa msukumo watu wa aina yake hawawezi kuelewa kuwa CHADEMA ni sehemu tu ndogo ya waTanzania ambao wanachukizwa na upuuzi unaoendelea sasa hivi.
 
Bora wazazi wako wangetumia kondomu tu
Hakika dunia haijaacha kuzaa wendawazimu! If you can't critique Constructively, you could have done a big favor to yourself by remaining quite. Your disgusting verbal diarrhea is exposing the emptiness of your head.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Kwa hiyo leo unahitimisha hapa, kwamba CCM tayari wamemaliza kazi ya kuwavuruga CHADEMA na njia io wazi kwao kuendelea kuwanyanyasa waTanzania?

Maneno uliyotumia katika mistari hiyo miwili na nusu, ni kii kinachokuPa uhakika wewe juu ya hitimisho hili?
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Unasema "muda ni hakimu mzuri..."; lakini hao hao unatazama muda wa uande mmoja unasahau kuwa kuna muda wa uPande huo mwingine?
"...maslahi maPana ya taifa letu..."; ni kuendelea kuwa chini ya utawala dhalimu unaoona kuweo na uchaguzi HURU na wa HAKI ni dhambi? Hivi kweli unazo akili timamu humo kichwani mwako?
 
Hakutakuwa na uchaguzi
Muda utahukumu! Vyama 18 kati 19 vinaendelea kuteua wagombea, busara gani inakuongoza kuwa vyama 18 vitahirisha kugombea kwasababu ya hiki kimoja kilichobaki?
Historia ni mwalimu mzuri sana, nini kilitokea 2015 baada ya UKAWA na ACT kususia uchaguzi wa marudio Zanzibar?
 
Watu wenye akili finyu kama huyo mleta mada, ikichangiwa na njaa inayowapa msukumo watu wa aina yake hawawezi kuelewa kuwa CHADEMA ni sehemu tu ndogo ya waTanzania ambao wanachukizwa na upuuzi unaoendelea sasa hivi.
Sasa akina nyinyi, "the self anointed ones" wa kuwa na akili nyingi, uwezo wenu wa mwisho kufikiri unawatuma kuwa, "kususa uchaguzi" ndio kutaleta mabadiliko?
Historia ni mwalimu mzuri sana, nini kilitokea 2015 baada ya UKAWA na ACT kususia uchaguzi wa marudio Zanzibar?
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Uchaguzi haupo October. Kuzuia uchaguzi kwa Dunia ya Leo huhitaji AK 47.
 
Is exactly what you're disPlaying throughout your postings in this forum!
The Big problem of people suffering from Anthony syndrome (cortical blindness) is confubulation. This is why, as doctor I approach people like you with sympathy. I wish you a speedy recovery.
 
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.

Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
The Big problem of people suffering from Anthony syndrome (cortical blindness) is confubulation. This is why, as a doctor I approach people like you with sympathy. I wish you a speedy recovery.
 
Sasa akina nyinyi, "the self anointed ones" wa kuwa na akili nyingi, uwezo wenu wa mwisho kufikiri unawatuma kuwa, "kususa uchaguzi" ndio kutaleta mabadiliko?
Historia ni mwalimu mzuri sana, nini kilitokea 2015 baada ya UKAWA na ACT kususia uchaguzi wa marudio Zanzibar?
Unaendelea na makosa yale yale ya kuonyesha kwako kutoelewa unacho kiandika.
Ni nani aliye sema CHADEMA "wanasusia" uchaguzi?

"Kuleta mabadiliko", kwa uelewa wako ni lazima kushirikiana na watenda maovu?

Unaeleza "Historia" ya waPi hiyo; uchafuzi nao unaujengea historia?
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
watazuia kwenye comment
 
Kwanini msinadi sera zenu na sio kuongelea chadema kukomaa na NRNE yao...? Mkiacha tamaa mtajua maana ya chadema na NRNE yao
 
Muda utahukumu! Vyama 18 kati 19 vinaendelea kuteua wagombea, busara gani inakuongoza kuwa vyama 18 vitahirisha kugombea kwasababu ya hiki kimoja kilichobaki?
Historia ni mwalimu mzuri sana, nini kilitokea 2015 baada ya UKAWA na ACT kususia uchaguzi wa marudio Zanzibar?
Tusubiri huo muda
 
Watu wenye akili finyu kama huyo mleta mada, ikichangiwa na njaa inayowapa msukumo watu wa aina yake hawawezi kuelewa kuwa CHADEMA ni sehemu tu ndogo ya waTanzania ambao wanachukizwa na upuuzi unaoendelea sasa hivi.
vp hamchukizwi na iran pia, vp mnaonaje mkatia kambi pale
 
The Big problem of people suffering from Anthony syndrome (cortical blindness) is confubulation. This is why, as doctor I approach people like you with sympathy. I wish you a speedy recovery.
As far as I am concerned, your qualification as a P hysician is highly questionable!
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Wanaozuia uchaguzi sio CDM ni wananchi ndio wenye hilo jukumu,hata tukilala nyumbani tutakua tumefanikisha kwa amani kabisa mkachaguane wenyewe tu namkose uhalali

No reform No Election
 
Back
Top Bottom