GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
vp hamchukizwi na iran pia, vp mnaonaje mkatia kambi pale
AHaaa, kumbe! Nimekuelewa mkuu 'stake'.
Ni hivi, ya Iran waachie wenyewe. Haya hapa kwetu ni muhimu zaidi kuliko ya huko kwingine.
 
As far as I am concerned, your qualification as a P hysician is highly questionable!
The Good thing is, you are neither accredited to award people doctor of medicine degrees nor to register such qualifications.
 
Unaendelea na makosa yale yale ya kuonyesha kwako kutoelewa unacho kiandika.
Ni nani aliye sema CHADEMA "wanasusia" uchaguzi?

"Kuleta mabadiliko", kwa uelewa wako ni lazima kushirikiana na watenda maovu?

Unaeleza "Historia" ya waPi hiyo; uchafuzi nao unaujengea historia?
What is the literal meaning of "No reform, No election"?
 
The Good thing is, you are neither accredited to award people doctor of medicine degrees nor to register such qualifications.
Any 'Kanjanja' in this rotten system can have those credentials, and I seriously doubt you're not one of them.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Neno uchaguzi kwenye hii nchi litoe kabisa, limekosa maana na thamani pia
 
Uchaguzi mko wenyewe

Ova
 
Any 'Kanjanja' in this rotten system can have those credentials, and I seriously doubt you're not one of them.
Comrade, lets debate the motion, safari yangu ya elimu ni safi sana, sahau kuwa ni daktari, the fact kwamba nimesoma shule zinazoitwa maalum should tell you some thing. Naongea haya ili usirudie kuhoji shule yangu next time kama ambavyo umekuwa ukifanya mara zote. Hakuna mbumbumbu anasoma kibaha secondary, hakuna mbumbumbu anafuzu shahaha ya Doctor of Medicine, let alone kuaminiwa kuongoza wenzangu kila nilikopita katika safari ya elimu ya juu.
 
"literal"?
You have no ability of understanding of such simple English words? What are you caPable of!
It is you who don't understand! You preach "No reform, No election" at the same time unasema CHADEMA haitazuia uchaguzi! This is radiculous.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Humphrey polepole atauzuia kasoma Cuba ngoja aje
 
Comrade, lets debate the motion, safari yangu ya elimu ni safi sana, sahau kuwa ni daktari, the fact kwanda nimesoma shule zinazoitwa maalum should tell you some thing. Naongea haya ili usirudie kuhoji shule yangu next time kama ambavyo umekuwa ukifanya mara zote. Hakuna mbumbumbu anasoma kibaha secondary, hakuna mbumbumbu anafuzu shahaha ya Doctor of Medicine, let alone kuaminiwa kuongoza wenzangu kila nilikopita katika safari ya elimu ya juu.
Dalili zote za ubabaishaji, kama ulivyoonyesha toka mwanzo.

Mimi sijali hayo unayoeleza mweyewe haPa na kujisifu; mimi natazama kilicho andikwa. Michango yako yooote, toka mwanzo ni kielelezo tosha kabisa cha kueleza wewe ni nani na uwezo wako ni uPi.
So, if you're attemPting to imPress me with that self ,descriPtion forget about it
 
Unaonaje mm na ww tuweke CV zetu hapa chini ili wachangiaji wapime kati yangu mm na wewe nani mbabaishaji?
 
It is you who don't understand! You preach "No reform, No election" at the same time unasema CHADEMA haitazuia uchaguzi! This is radiculous.
What's "radiculous" about what is clearly stated, "NO REFORMS, NO ELECTION". Why do you have any doubts about that intent?
 
Unaonaje mm na ww tuweke CV zetu hapa chini ili wachangiaji wapime kati yangu mm na wewe nani mbabaishaji?
You must be out of your mind, even to begin thinking about that!

Ulisoma wapi Muhimbili au wapi?
Ni akina nani walikuwa walimu wako?

Nacheza kwenye ligi zaidi ya hiyo.
 
You must be out of your mind, even to begin thinking about that!

Ulisoma wapi Muhimbili au wapi?
Ni akina nani walikuwa walimu wako?
The only contest I will entertain with you is CV sharing. Share yours I share mine then our audience will decide nani mbabaishaji.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Dogo we ni Dr wa Nini?
 
Back
Top Bottom