GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.

..mabadiliko yanayopendekezwa na Chadema yana mashiko na yanapaswa kufanyiwa kazi.

..Na mabadiliko hayo wa kwanza kuyapendekeza alikuwa Jaji Mkuu Francis Nyalali. Chadema na wengine wamedurusu toka huko.

..Uamuzi wa busara, na kujisahihisha, na serikali kukaa mezani na vyama vyote, ili waje na utaratibu unaokubalika, ili washiriki wote wajisikie wametendewa haki.

..Kama Simba na Yanga wameweza kukubaliana namna bora mechi yao itakavyochezeshwa, basi vyama vya siasa vinapaswa kuiga mfano huo.

..Mabadiliko kabla ya uchaguzi ni muhimu.

..Tanzania ni yetu sote.
 
Kuzuia ni generic term! Ina maana kubwa! Nadhani ni kuzikiliza maana yake. Labda tuwasikilize baada ya uchaguzi. Utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujibiwa swali lako.
 
Yanakuhusu doctori uchwara? Nenda kale unapopeleka mboga tu haya mambo yapo nje sana ya caliber yako chawa
 
The only contest I will entertain with you is CV sharing. Share yours I share mine then our audience will decide nani mbabaishaji.
The best measure is what everybody is able to see right here!
Ukitaka kuweka, weka, hiyo ni hiari yako, na wala haitabadili chochote katika kuonyesha ufinyu wa uwezo wako, siyo katika hiyo fani unayodai umesomea, bali hata haya mengine ya kisiasa kiujumla.

Wewe ni mchumia tumbo tu, kama hao wengine wengi tunaowaona humu, na hamna uchungu wowote na maslahi ya taifa hili.
 
Unatumia kigezo kipi kumuita dogo ?
Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku useme CV yake.
 
let alone kuaminiwa kuongoza wenzangu kila nilikopita katika safari ya elimu ya juu.
Na sasa unapambana "kuaminiwa kuongoza" kuendeleza maovu katika uongozi mbovu huu uliopo, au siyo?
Hii ndiyo sababu inayokuondoa akili kabisa kichwani na kujisahau kama unavyoonyesha katika mada zako?
 
AHaaa, kumbe! Nimekuelewa mkuu 'stake'.
Ni hivi, ya Iran waachie wenyewe. Haya hapa kwetu ni muhimu zaidi kuliko ya huko kwingine.
lakini mnataka ya kwenu watu wa nje waingilie si ndio
 
Hivi hadi muda huu bado unaamini uchaguzi upo kijana?? Subiri uone maajabu ya karne.
Watanzania kwa asili ni wakimya ila action zao utaziona hiyo tarehe mtakayopanga - aibu.
 
Na sasa unapambana "kuaminiwa kuongoza" kuendeleza maovu katika uongozi mbovu huu uliopo, au siyo?
Hii ndiyo sababu inayokuondoa akili kabisa kichwani na kujisahau kama unavyoonyesha katika mada zako
Umeniona nachukua fomu kutafuta uongozi? By the way, ni muhimu na wewe tukufahamu maana kila siku unaniita mm kilaza.
 
Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior officer medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku aseme CV yake.
EEEEEeeenHEEEEEh!
Hii ndiyo CV unayojigamba nayo? EEEEEEnHEEEEE!

Mbona hata Kigwangala anayo nzuri kukushinda wewe!

Wewe ni mchumia tumbo tu, huna la ziada.
Kwa kuangalia tu kwa haraka, hicho unachokiita CV, ni wazi kwamba wewe ni mtu mwenye tabia ya kinafiki nafiki na kujipendekeza, kujionyesha upate upendeleo maalum. Sifa za uongozi huna.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Hata sasa watakutukana na kukwambia No Reform, No Election ipo palepale, lakini wakati huo huo Chadema WOTE hadi Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche anafuatilia kwa karibu nani kakatwa nani kabaki kwenye primaries za CCM wakati wakijua huo ndio mchakato wa Uchaguzi Mkuu wenyewe! Ahahahahaha!!!
 
EEEEEeeenHEEEEEh!
Hii ndiyo CV unayojigamba nayo? EEEEEEnHEEEEE!

Mbona hata Kigwangala anayo nzuri kukushinda wewe!

Wewe ni mchumia tumbo tu, huna la ziada.
Kwa kuangalia tu kwa haraka, hicho unachokiita CV, ni wazi kwamba wewe ni mtu mwenye tabia ya kinafiki nafiki na kujipendekeza, kujionyesha upate upendeleo maalum. Sifa za uongozi huna.
Weka yako, ww ndio unaniita kilaza! Kigwangala sina shida naye.
 
EEEEEeeenHEEEEEh!
Hii ndiyo CV unayojigamba nayo? EEEEEEnHEEEEE!

Mbona hata Kigwangala anayo nzuri kukushinda wewe!

Wewe ni mchumia tumbo tu, huna la ziada.
Kwa kuangalia tu kwa haraka, hicho unachokiita CV, ni wazi kwamba wewe ni mtu mwenye tabia ya kinafiki nafiki na kujipendekeza, kujionyesha upate upendeleo maalum. Sifa za uongozi huna.
Weka ya kwako tuisome hasi tu broo!!!

Usipoiwwka ya kwako, nitakusamehe! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom