GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu mm sitafuti kazi tena, nimeshakuwa senior officer sasa, nikiacha kazi sasa, labda iwe kwenda kwenye International Organisation! By the way, humu jamii forum kuna watu kibao wananifahamu, nasema hivyo kwasababu wananitext DM, sometimes, kunisalimu, sometimes kunikumbusha tulikotoka, sometimes kunionya ninapokosoa kwani ID yako siyo fake.
Hii nilikueleza wewe ili uache kuniita kilaza.
Sikumbuki kutumia neno hilo, "kilaza"; lakini kama nimelitumia itakuwa ni mahali s'secific'. Msukumo wangiu mzima humu, ni kukataa ulimbukeni. Kama hiyo MD unaona inakuPa sifa ya kuonyesha mawazo yako ni sahihi wakati ni batili; hilo ni lazima litazungumziwa.

Nimeelezea hiyo unayoiita wewe CV kuwa ni kama ya kuombea kazi, kwa namna ulivyo iwasilisha, imekaa hivyo.
Na usitake kuzuga watu haPa juu ya uhitaji wako wa kuteuliwa kisiasa. Wewe hutakuwa mtu wa kwanza, tena ambaye 'qualification' zake zipo chini sana. Ni wangaPi wenye fani ya utibabu ambao walisha acha nafasi zao na kuwa wateule wa kisiasa!

Ndiyo maana nasema, wewe siyo mtu mkweli. Unazo tabia za kidanganyifudanganyifu sana. Zinajionyesha zenyewe kwenye michango yako humu.
 
Huyo CV yake ni kukosoa Ccm
Lakini usisahau kuwa nililelewa na kutunzwa vizuri sana ndani ya CCM. Kwa hiyo, kama hiyo itakuwa ndiyo CV yangu, nina hakika ni CV ninayojivunia maisha yangu yote.
Ninapoikosoa CCM usifikiri siijui CCM, ninaijuwa vizuri sana.
 
Hoja za CHADEMA zina ukweli, ila approch yao hata Jaji Warioba alisema ina changamoto.
Kukata wagombea haikubaliki, kujificha usipokee fomu za wapinzani haikubaliki, kukataa kuapisha mawakala wa upinzani haikubaliki, kuzuia mawakala wa upinzani wasiingie kwenye vituo vya uchaguzi haikubaliki na kuiba kura haikubaliki. LAKINI kukiuka katiba kuahirisha uchaguzi haikubaliki pia. Padre Kitima kaeleza vyema, CCM na CHADEMA wayafanyie kazi yale yanayowezekana, vyama vyote vishiriki uchaguzi.
Kugomea kuwa na muafaka ili uchaguzi ufanyike ni jambo ambalo mm sioni kama lina tija kwa taifa.

..kwa hiyo hukubaliana na Ccm kugomea mabadiliko.

..Na hukubaliani na Chadema kugomea uchaguzi.

..Je, unakubaliana na Tume Huru kuendelea na uongozi wa zamani badala ya kuteuliwa kwa kufuata mchakato ulioelekezwa na Sheria mpya?
 
Ukiwaambia ukweli huu wafuasi wa CHADEMA, wanakasirika nakuanza kuporomosha matusi.
licha ya matusi yao,
ni vizuri ukweli dhidi ya upotofu wa dhana na aina ya demokrasia wanayoitaka chadema vikiendelea kuelezwa bayana humu jukwaani licha ya utamaduni wao wa kuporomosha matusi dhidi ya ukweli, mpaka pale watakapoelewa kwamba kujitenga na michakato ya kidemokrasia ni useless na completely nonsense traditional katika siasa 🐒
 
Ndugu Kalamu , tuna mazwazwa wengi sana wamejificha kwenye miamvuli ya elimu na usomi (Ph.Ds), ndio maana wenye akili timamu tumekataa kutumia utambulisho huo wa udaktari wa falsafa kwa aibu ya wenye huo udaktari wa falsafa zama hizi.

Sijawahi kusikia ama kuona CHADEMA kama chama wakisema kuwa watazuia uchaguzi.
Ajabu ni kilaza na zwazwa mmoja anasema uchaguzi utazuiwajee!!!
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.

Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?

Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.

Ulisikia wapi CHADEMA wakisema wao ndio watakaozuia uchaguzi?
 
Je, kususia uchaguzi ndio kutatatua hizo changamoto mnazozilalamikia?
Kususia uchaguzi ni mojawapo ya njia halali ya kuonyesha kwamba hukubakiana na mwenendo wa mambo. Kushiriki uchaguzi usioheshimiwa ndio kutatatua changamoto tunazozilalamikia? Kutenda jambo lile lile ukitegemea matokeo tofauti ni matumizi mabaya ya akili .
 
Sikumbuki kutumia neno hilo, "kilaza"; lakini kama nimelitumia itakuwa ni mahali s'secific'. Msukumo wangiu mzima humu, ni kukataa ulimbukeni. Kama hiyo MD unaona inakuPa sifa ya kuonyesha mawazo yako ni sahihi wakati ni batili; hilo ni lazima litazungumziwa.

Nimeelezea hiyo unayoiita wewe CV kuwa ni kama ya kuombea kazi, kwa namna ulivyo iwasilisha, imekaa hivyo.
Na usitake kuzuga watu haPa juu ya uhitaji wako wa kuteuliwa kisiasa. Wewe hutakuwa mtu wa kwanza, tena ambaye 'qualification' zake zipo chini sana. Ni wangaPi wenye fani ya utibabu ambao walisha acha nafasi zao na kuwa wateule wa kisiasa!

Ndiyo maana nasema, wewe siyo mtu mkweli. Unazo tabia za kidanganyifudanganyifu sana. Zinajionyesha zenyewe kwenye michango yako humu.
Comrade weka CV yako hapa tuone? Mm nimeshawahi kuwa nominated kuwa international observaer wa uchaguzi mkuu wa nchi, ww biggest achievement yako ni ipi?
Sikuendelea na siasa kwasababu nimeridhika na ajira yangu. I wish nikwambie nafanya kazi wapi ili ufunge mdomo wako. Ila siwezi shindwa kuzuia emotions zangu zinitoe kwenye maadili yangu ya utumishi wa umma.
Ila ukae ukijua mm nilishawahi kuwa sehemu za delegation za kitaifa za CCM nje ya nchi. Mm ni miongoni mwa wenyeviti waanzilishi wa shilikisho la CCM vyuo vikuu ngazi ya mkoa.
Kumtukana Rais, kutukana serikali, na kutukana CCM, sio achievements. Pia kuwa mwana CCM hakumaanishi ni mjinga.
Kama mnavyoamini katika CHADEMA tuacheni na sisi tuamini katika CCM. Ila kututukana kuwa tunatafuta uteuzi wakati hamjui maisha yetu ni kutuvunjia heshima. Tunaitetea CCM kwasababu tunaipenda.
 
..kwa hiyo hukubaliana na Ccm kugomea mabadiliko.

..Na hukubaliani na Chadema kugomea uchaguzi.

..Je, unakubaliana na Tume Huru kuendelea na uongozi wa zamani badala ya kuteuliwa kwa kufuata mchakato ulioelekezwa na Sheria mpya?
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani.
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?
 
Comrade weka CV yako hapa tuone? Mm nimeshawahi kuwa nominated kuwa international observaer wa uchaguzi mkuu wa nchi, ww biggest achievement yako ni ipi?
Unaendelea na ulimbukeni ule ule, naona umo ndani ya damu haswa na siyo kwenye akili pekee
Sikuendelea na siasa kwasababu nimeridhika na ajira yangu. I wish nikwambie nafanya kazi wapi ili ufunge mdomo wako. Ila siwezi shindwa kuzuia emotions zangu zinitoe kwenye maadili yangu ya utumishi wa umma.
Ila ukae ukijua mm nilishawahi kuwa sehemu za delegation za kitaifa za CCM nje ya nchi. Mm ni miongoni mwa wenyeviti waanzilishi wa shilikisho la CCM vyuo vikuu ngazi ya mkoa.
Enough said.
Halafu kiumbe kama wewe bado huoni jinsi nchi yetu inavyonajisiwa; watu kama wewe kweli mnazo akili kichwani mwenu? Unaishi uweje kama huoni uchungu mkubwa juu ya taifa lako linakoelekea wakati huu!
Halafu unakuja hapa na kujigambagamba hivi?
Unataka iweje, ndipo ikustue wewe na hao wengine wote?

Umeulizwa swali haa rahisi kabisa na mkuu 'Joka Kuu', ambalo sote siku zote tunauliza, lakini huoni kuwa ni swali muhimu, badala yake unatuwekea CV nyepesi nyepesi hapa ukidhani tutakuwa 'impressed'!
Unakazania CV yangu ili iweje, mje mnimalize? Fahamu tu kuwa CV yangu ni nzito maradufu ya hiyo unayojigamba nayo.

Sasa nikuulize, mansubiri hadi uharibifu uweje, ndio mtambue kwamba nchi yetu inaangamia?
 
pitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani
Sasa fikiria mwenyewe, mtu mwenye akili timamu anaandika mambo kaama haya! Na huyu anasema akili yake iko huru, hafungamani na upande wowote?
 
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?
Hivi kweli upo sawasawa wewe?
CHADEMA waliyasema hayo lini?
 
Unaendelea na ulimbukeni ule ule, naona umo ndani ya damu haswa na siyo kwenye akili pekee

Enough said.
Halafu kiumbe kama wewe bado huoni jinsi nchi yetu inavyonajisiwa; watu kama wewe kweli mnazo akili kichwani mwenu? Unaishi uweje kama huoni uchungu mkubwa juu ya taifa lako linakoelekea wakati huu!
Halafu unakuja hapa na kujigambagamba hivi?
Unataka iweje, ndipo ikustue wewe na hao wengine wote?

Umeulizwa swali haa rahisi kabisa na mkuu 'Joka Kuu', ambalo sote siku zote tunauliza, lakini huoni kuwa ni swali muhimu, badala yake unatuwekea CV nyepesi nyepesi hapa ukidhani tutakuwa 'impressed'!
Unakazania CV yangu ili iweje, mje mnimalize? Fahamu tu kuwa CV yangu ni nzito maradufu ya hiyo unayojigamba nayo.

Sasa nikuulize, mansubiri hadi uharibifu uweje, ndio mtambue kwamba nchi yetu inaangamia?
Wewe unaonekana unachotaka siyo reforms, ni vurugu tu na kuharibu amani ya nchi.
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
CCM bado mnaamini mtaiba uchaguzi mwaka huu?
 
Dalili za mvua ni mawingu!

Hizi dalili bado hujaziona?
 
Kumtukana Rais, kutukana serikali, na kutukana CCM, sio achievements. Pia kuwa mwana CCM hakumaanishi ni mjinga.
Kama mnavyoamini katika CHADEMA tuacheni na sisi tuamini katika CCM. Ila kututukana kuwa tunatafuta uteuzi wakati hamjui maisha yetu ni kutuvunjia heshima. Tunaitetea CCM kwasababu tunaipenda.
UnaPenda kitu gani ndani ya CCM sasa hivi, 'seriously'!

And, BTW, ni CCM gani unayoipenda wewe; hiyo inayotumiwa na GENGE lililokivamia chama, au CCM gani?

Na usifikiri, tunapokuja humu tunakuja kuisifu CHADEMA; tunasifu yanayopiganiwa na CHADEMA kwa sasa hivi dhidi ya maovu yanayofanywa na hiyo CCM iliyotekwa na GENGE.
Ni wazi kabisa hata hutambui kwamba CCM kama chama limebaki kuwa ni kasha tu, linalotumiwa na watu wenye nia ovu juu ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom