Kwani unapinga kuwa Rais hakuasisi 4R?
..Naunga mkono Reforms ni moja ya 4R za Raisi Samia.
..kinachonisitisha ni Reforms kutokutekelezwa kitu ambacho ni kumtweza na kumtukana Raisi.
..Haiwezekani Tundu Lissu anayemuunga mkono Raisi katika Reforms anaonekana mtu mbaya, halafu Makala na Wassira wanaopinga wanaonekana wazuri.
..Wakati umefika tuuseme ukweli. Chadema wanamuunga mkono Rais katika Reforms kuliko Ccm na establishment.
..Hii nchi ni yetu sote.