GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kitendo cha SAMIA kutovunja Bunge ni ishara tosha wanaweza kuja kukabiliana na hoja za CDM.

Hope CDM walipiga hesabu zao vizuri,imagine kwenye vyama vya upinzani vya Chauma,Cuf,& ICT ni mgombea gani ana ushawishi ambaye anaweza kupita hata asipo pendelea-Jibu ni Zitto kabwe pekee.

Je Bunge nzima kuwa na Mbunge 1 wa Upinzani kama ilivyokuwa mwanzo,impact yake ni nini???
 
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani.
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?

..Ndio maana mwanzo kabisa nilikuuliza kuhusu pendekezo lolote la Chadema ambalo hukubaliani nalo

..Reforms ni agenda ya Mama, sasa kwanini hazitekelezwi?

..Mimi ningependa unishawishi kuhusu ubaya au madhara ya kufanya Reforms kabla ya uchaguzi.
 
Wewe unaonekana unachotaka siyo reforms, ni vurugu tu na kuharibu amani ya nchi.
Umesoma wapi nikielezea hayo.
Wewe huoni kwamba viongozi wako wanaokataa kuwepo kwa mabadiliko ili uchaguzi ufanyike kwenye mazingira ya HAKI ndio wanaotengeneza vurugu?

Haya yote ni mwendelezo wa kuhoji uwezo wako wa kutafakari mambo sawsawa. Hiyo AMANI inapatikana kwa kunyima HAKI watu. Unaelewa lakini kinachoandikwa?
 
..Ndio maana mwanzo kabisa nilikuuliza kuhusu pendekezo lolote la Chadema ambalo hukubaliani nalo

..Reforms ni agenda ya Mama, sasa kwanini hazitekelezwi?

..Mimi ningependa unishawishi kuhusu ubaya au madhara ya kufanya Reforms kabla ya uchaguzi.
Different approaches, but hopefully we come to the same conclusion.
 
Truth be told, kwani Jaji Warioba sio CCM? Au Mzee Butiku siyo CCM? Je, ulimsikia Wasira alisema nini? Hakuna anayekataa reforms, mwanzilishi wa reforms ni Rais Samia kupitia 4R. Changamoto hapa ni matakwa ya CHADEMA kuwa uchaguzi usifanyike mpaka wapate 100% ya matakwa yao. Hilo haliwezekani.
Padre Kitima, Askofu Pisa wate wanashauri CCM na CHADEMA wakae pamoja wajadiliane yanayowezekana kufanyika yafanyike ile uchaguzi mkuu ufanyike. Lakini CHADEMA ndio kikwazo, wanataka uchaguzi uahirishwe, ww hili unaona linawezekana?

..hoja ya kuahirisha uchaguzi imetolewa baada ya Ccm kudai muda wa kufanya mabadiliko hautoshi.

..lakini ukumbuke kwamba hoja ya mabadiliko ni ya Jaji Nyalali, na ipo tangu mwaka 1992. Na Rais Samia pia amekuja na 4R, tangu mwaka 2022.

..binafsi sidhani kama kuna haja ya vyama kukaa mezani. Mapungufu ktk tume na mifumo yanajulikana, kwanini hayafanyiwi kazi?
 
Mm ni Doctor of Medicine, MD holder, mwenye usajili kamili wa baraza la madaktari MCT, namba yangu ya usajili ni MCT0129, currently in my second year of my specialization in MMED Internal medicine. I am a senior medical officer with extensive 10yrs experience of working in and out government. I have been president of university students organization in my undergraduate training as well as chief resident in my postgraduate training, serving in post such as member to school boards, member of university college governing board, member to university senate, member to university council. In my prime year of school politics I served a the secretary General to the East Aftrican Community Students Union.
Naomba na mwenzangu huyu anayeniita kilaza kila siku useme CV yake.naendelea kuthibitisha tofauti na elim na akili
 
Tutasusia humu humu JF na tufanya maandamano humu humu JF.
 
Different approaches, but hopefully we come to the same conclusion.

..Chadema wameshiriki chaguzi 6 chini ya Tume hiihii ya hovyo.

..Sioni hoja za kuwashawishi washiriki uchaguzi wa 7 ukizingatia experience waliyopitia.

..Na upo ushahidi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao Mama mwenyewe aliyekuja na 4R aliuharibu.

..Kikatiba Rais ndiye waziri wa Tamisemi. Kwa msingi huo aliyesimamia na kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ni Ssh, sio Mchengerwa.
 
Kitendo cha SAMIA kutovunja Bunge ni ishara tosha wanaweza kuja kukabiliana na hoja za CDM.

Hope CDM walipiga hesabu zao vizuri,imagine kwenye vyama vya upinzani vya Chauma,Cuf,& ICT ni mgombea gani ana ushawishi ambaye anaweza kupita hata asipo pendelea-Jibu ni Zitto kabwe pekee.

Je Bunge nzima kuwa na Mbunge 1 wa Upinzani kama ilivyokuwa mwanzo,impact yake ni nini???
Mm mwenyewe natamani CCM na CHADEMA wafike muafaka! Mwisho wa siku hii nchi ni yetu sote na tunajenga nyumba moja. Hii vita ya kugombea fito haitusaidii
 
Uchaguzi huu ukishiriki ni kama hujashiriki usipo shiriki haujashiriki binafsi Kama mtanzania tusifanye Uchaguzi tu waliopo madarakani wajikusanye wajitangaze wajiapishe basi..fedha nyingi tunapoteza kwa Uchaguzi kiini macho Mimi nishinde wewe ukishinda aaah nakupiga nakunyima barabara nakufunga nakupa kesi Nini maana yake? Kwanini tuwe na Uchaguzi sasa ?
 
..Chadema wameshiriki chaguzi 6 chini ya Tume hiihii ya hovyo.

..Sioni hoja za kuwashawishi washiriki uchaguzi wa 7 ukizingatia experience waliyopitia.

..Na upo ushahidi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao Mama mwenyewe aliyekuja na 4R aliuharibu.

..Kikatiba Rais ndiye waziri wa Tamisemi. Kwa msingi huo aliyesimamia na kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ni Ssh, sio Mchengerwa.
Uungwana ni kukubali ulipokosea, kurekebisha na kusongo mbele. Mkuu wa nchi anazo njia stahiki za kufanya hivyo bila kujitweza na kutweza mamlaka ya ofisi yake, kama CHADEMA wanayo nia ya dhati ya kushiriki uchaguzi, ni imani yangu Rais yupo tayari kuwasikiliza kwa mambo yanayowezekana.
 
..Reforms si agenda ya Raisi?

..sasa kama hazijatekelezwa huoni ndio kumtweza, na kumtukana, Raisi?

..Chadema wamesema tena na tena kuwa yakifanyika mabadiliko watashiriki.

..sasa kwanini Raisi hafanyi mabadiliko? Kwanini Raisi hatekelezi hata Sheria ambayo tayari ameisaini?

..Kwa mfano kwanini uchaguzi wa serikali za mitaa haukusimamiwa na Tume?

..Au kwanini Raisi hajateua Tume kwa kufuata mchakato wa sheria mpya? Hilo nalo linahitaji kuzungumza na Chadema?
 
Kwani unapinga kuwa Rais hakuasisi 4R?
 
..Chadema wameshiriki chaguzi 6 chini ya Tume hiihii ya hovyo.

..Sioni hoja za kuwashawishi washiriki uchaguzi wa 7 ukizingatia experience waliyopitia.

..Na upo ushahidi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao Mama mwenyewe aliyekuja na 4R aliuharibu.

..Kikatiba Rais ndiye waziri wa Tamisemi. Kwa msingi huo aliyesimamia na kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ni Ssh, sio Mchengerwa.
Dalili zote zilizopo sasa hivi; uchaguzi wa Oktoba kama utafanyika katika mazingira yaliyopo sasa, utakuwa ni uchaguzi wa hovyo kabisa kuzishinda zote zilizowahi kufanyika miaka ya nyuma; baada ya uwepo wa vyama vingi.

Kukataa kwa maksudi kabisa marekebisho muhimu, ni ishara moja iliyo wazi.
 
WaTanzania waliowengi either hawapendi maendeleo na ukuaji wa Demokrasia ya Jamii ya Watanzani. Hivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu anatetea wabaoshiriki uchaguzi usiyokuwa na kichwa wala mguu? Yaani mtu anarudisha fomu alafu mpekeaji fomu analikimbia fomu then bado tuendelee kupoteza rasilimali muda?

Achaneni na unafiki, njia mojawapo ya kutatua haya matatizo ni kuhitaji (reforms) mabadiliko.
Achaneni na upumbavu wa kutetea upuuzi; kuna wengine hata kufika eneo la kutangaza matokeo hawajawai kufika na kushuhudia vituko wakati wa utangaziji wa matokeo na kidudu kinachoitwa NEC.

Pumzisheni waTanzania na milio ya bunduki, siku wakibanwa mbavu vizuri wanaingia kuyadai wenyewe.
 
Back
Top Bottom