Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'

Fikiri kabla ya kuandika acha kukurupuka.
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidiGazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
Mbona mnatapatapa sana kama mmewashindwa kuwatoa accommodate them or you better keep quiet.Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
chadema hawana chombo chochote cha habari kuanzia gazeti hadi radio sasa wewe unongelea gazeti la mbowe na si chadema .na kama gazet hilo limeandika kuwatetea basi nawapa heko maana ccm hakuna wa kuwagusa .chadema yaani katibu mkuu wa chama wamesha sema .wabunge wamesema wewe unashangaa ?som tena then tafakari what this gazeti is doing ni kuchochea fitina ccm waumane chama kife na si kuwatetea mapacha 3 .kasome tena then utaona kwamba chadema hawana gazeti ila hilo ni freemedia .freeman mbowe media nenda huko wanako sajiri utaona haya nisemayo .
hili gazeti linamilikiwa na chadema by proxy kupitia mbowe
hili gazeti linamilikiwa na chadema by proxy kupitia mbowe
akili zako nyanya
Thibitisha madai yako mkuu maana hap JF uzushi si mahala pake .
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi
Mkuu, na wenyewe wanafanya hayo kwa maslahi yao wenyeweVipi wabunge na Mawaziri walio mtetea CHENGE juzi? vipi waliomshangilia Lowasa Bungeni?Vipi walio wapa wenyekiti wa kamati za bunge hawa Mafisadi?
gazeti gani linamilikiwa na chadema! Ebu liseme tulijue? Bt najua unamaanisha gazeti la mwenyekiti wa chama? Lazima liwatetee sababu mwenyekiti wetu nae ni fisadiGazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi
gazeti linalomilikiwa na cdm kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, rostam ,waandaliwa 'zengwe'