Huu upuuzi nenda ukajadili facebook na mabroiler wenzako.Kuanzia utotoni mpaka vyuoni na hatakweye magheto yetu ya uswazi haya maneno na vitendo ni common sana .
Je
- umewahi kupiga au kupigwa chabo au umewahi kukwekwa exile na roomate ?
- nini raha, karaha , aibu au, uzuri ubaya wa kupiga chabo. au na kupigwa exile?
- Unakumbuka nini kwenye chabo na exile ulizoshiriki au kushirishwa?
Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani
Huu upuuzi nenda ukajadili facebook na mabroiler wenzako.
we kajadili na masharobaro wenzako face book.hapa leta mada za kujenga taifa na kufundisha jamiii.alahKuanzia utotoni mpaka vyuoni na hatakweye magheto yetu ya uswazi haya maneno na vitendo ni common sana .
Je
- umewahi kupiga au kupigwa chabo au umewahi kukwekwa exile na roomate ?
- nini raha, karaha , aibu au, uzuri ubaya wa kupiga chabo. au na kupigwa exile?
- Unakumbuka nini kwenye chabo na exile ulizoshiriki au kushirishwa?
Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani
Upuuuzi unaujua wewe!!!!!!!!!!! broiler utakuwa wewe labda umekulia kuishi na utazikwa masaki na mbezi beach
Usishangae kama ni upuuzi kwako haya ni mambo yametokea , yanatokea na na yanaendela akufanyika teh teh teh teh[/QUOTE] Unajiskiaje unavyoandika thread na kuishia kujijibu mwenyewe??
Huu upuuzi nenda ukajadili facebook na mabroiler wenzako.
we kajadili na masharobaro wenzako face book.hapa leta mada za kujenga taifa na kufundisha jamiii.alah
hizi ni strees
angalie zisikutoe duniani mama,watanzania tunaongoza kwa kuishi maisha mafupi
shauri yako
kuna walengwa na hii mada kama siyo mlengwa basi pita kimyakimya bila ya kumkwaza mwenzenu.......................................ingawaje ningelipenda kufafanuliwa msamiati wa chabo..................................
Acha jazba bimkoraBi mkora said:Unajiskiaje unavyoandika thread na kuishia kujijibu mwenyewe?