CHABO na EXILE

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Kuanzia utotoni mpaka vyuoni na hatakweye magheto yetu ya uswazi haya maneno na vitendo ni common sana .

Je

  • umewahi kupiga au kupigwa chabo au umewahi kukwekwa exile na roomate ?
  • nini raha, karaha , aibu au, uzuri ubaya wa kupiga chabo. au na kupigwa exile?
  • Unakumbuka nini kwenye chabo na exile ulizoshiriki au kushirishwa?

Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani
 
Huu upuuzi nenda ukajadili facebook na mabroiler wenzako.
 
Huu upuuzi nenda ukajadili facebook na mabroiler wenzako.

Upuuuzi unaujua wewe!!!!!!!!!!! broiler utakuwa wewe labda umekulia kuishi na utazikwa masaki na mbezi beach

Usishangae kama ni upuuzi kwako haya ni mambo yametokea , yanatokea na na yanaendela akufanyika teh teh teh teh

haya turudi nyuma kwa hiyo ID yako moja ya bi mkora tukiacha zingine wewe usiye broiler ulipost thread hii
  • ya mambo ya mombasa wapi? Hope hapo ni facebook. Kumbuka kwa akili zako nyingi kablaa haijapelekwa jukwaa la wakubwa wewe uliiweka wapi.... teh teh teh
  • nadhani hujasahu na hii it was nice dinner . Nadhani hasa hizi ndio zinatakiwa kuwa kule sura kitabu FB ......
  • Hii mdogo wangu yupo masomoni inathibitisha japo umeniponda na wewe ni mpiga chabo mzuri sanaaaaaaa
Angalia katika Thread 6 ulizoanszsha kwa jina la bi mkora 5 kati yake zinakuonyesha abisa wewe ni mtu wa aina gani. . So ure ust prentending hii ndio story zako teh teh teh teh teh .

I can go on and on and on kukuonyesha kwamba wewe ndiye broiler sugu zaidi yangu.......
 
Kuanzia utotoni mpaka vyuoni na hatakweye magheto yetu ya uswazi haya maneno na vitendo ni common sana .

Je

  • umewahi kupiga au kupigwa chabo au umewahi kukwekwa exile na roomate ?
  • nini raha, karaha , aibu au, uzuri ubaya wa kupiga chabo. au na kupigwa exile?
  • Unakumbuka nini kwenye chabo na exile ulizoshiriki au kushirishwa?

Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani
we kajadili na masharobaro wenzako face book.hapa leta mada za kujenga taifa na kufundisha jamiii.alah
 
Upuuuzi unaujua wewe!!!!!!!!!!! broiler utakuwa wewe labda umekulia kuishi na utazikwa masaki na mbezi beach

Usishangae kama ni upuuzi kwako haya ni mambo yametokea , yanatokea na na yanaendela akufanyika teh teh teh teh[/QUOTE] Unajiskiaje unavyoandika thread na kuishia kujijibu mwenyewe??
 
Chabo zuri ukimpiga mwenzako,ila ni baya ukipigwa wewe. Alafu exile inakera pale unapohitaji kuingia gheto alafu ukakuta jamaa amekufungia mlango. Ila yote kwa yote huo ni ujana. Na una wakati wake.
 
we kajadili na masharobaro wenzako face book.hapa leta mada za kujenga taifa na kufundisha jamiii.alah

Ok sasa wewe katika hizi mada zako ipi inajenga taifa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/155601-ya-zuma-na-anc-kama-jakaya-na-ccm.html
Sasa ukiulizwa katika thread uchagua thread moja ili ifayiwe kazi hasa ya kujenga tafa ni ipi utachagua. teh teh teh teh

Acheni kujifanya mko serious wakati mnauza chai tu hapa . Inawezekana ni hasira saabu umeshwai kupigwa chabo. Kam nihvyo pole sana Dada Joyce Paul
 
hizi ni strees
angalie zisikutoe duniani mama,watanzania tunaongoza kwa kuishi maisha mafupi
shauri yako

hahhahaha Mkuu katika wachangaiaji wote Bi kweli kaonyesha ukra wake inawezeana anasahu hata yeye huwa anapost nini. teh teh teh. Kweli stress za jf iznaweza kudhoofisha afya za watu.

Kama kuna mtu anataka thread yangu inayojenga taifa basi asome hapa teh teh teh
 
kuna walengwa na hii mada kama siyo mlengwa basi pita kimyakimya bila ya kumkwaza mwenzenu.......................................ingawaje ningelipenda kufafanuliwa msamiati wa chabo..................................
 
Hahahhaa kyoma Ruta

chabo ina maana nyingi lakini katika context hii ni maana yake kuchungulia watu wakiwa wafanya majamboz kwenye sita wa sita. IWe mtaanii chuoni au hata kijijini porini. teh teh teh teh.

Huo ndio msamiati. Kwa wewe nshomile nadhani Exile hiyo utakuwa unajua teh teh teh teh

Bi mkora said:
Unajiskiaje unavyoandika thread na kuishia kujijibu mwenyewe?
Acha jazba bimkora
Nimekuuliza mtu aliyeleta mada ya mombasa , au mada ya it was nice diinner au mdogo wangu yupo masomoni huyo siyo broiler kama mtazamaji teh teh teh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom