Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Kuanzia utotoni mpaka vyuoni na hatakweye magheto yetu ya uswazi haya maneno na vitendo ni common sana .
Je
Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani
Je
- umewahi kupiga au kupigwa chabo au umewahi kukwekwa exile na roomate ?
- nini raha, karaha , aibu au, uzuri ubaya wa kupiga chabo. au na kupigwa exile?
- Unakumbuka nini kwenye chabo na exile ulizoshiriki au kushirishwa?
Karibuni tujadili chabo na exile za vyuoni mpaka mtaani