Cement yazidi kupanda bei mkoani Mwanza

Cement yazidi kupanda bei mkoani Mwanza

Hiyo ni fact to be honesty, lkn kuna wakakini kwa nini hapa Arusha mfuko wa cement unatoka kwa 15 elfu na hakuna factory yoyete ile ya cement? Lake zone uuzwe kwa 19 elf?
Arusha sehemu gani? Itakuwa haujanunua cement muda kidogo. Arusha sasa hivi cement hakuna. Na iliyopo ni bei hio hio 19500. Mimi nimenunua jana kwa hio bei. Sabena, Bulk etc.. bei ni hio hio. Na kama nilivyosema, sehemu nyingi cement yenyewe haipatikani
 
Arusha sehemu gani? Itakuwa haujanunua cement muda kidogo. Arusha sasa hivi cement hakuna. Na iliyopo ni bei hio hio 19500. Mimi nimenunua jana kwa hio bei. Sabena, Bulk etc.. bei ni hio hio. Na kama nilivyosema, sehemu nyingi cement yenyewe haipatikani

Duuh, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sikujua hilo, nina kama mwezi sijanunua hiyo bidhaa, lkn kama hali iko hivyo basi ni majanga
 
Wanasiasa waliotuhadaa kwamba watashusha bei za vifaa vya ujenzi kwa kuviondolea kodi ili kila mtanzania awe na makazi bora hapo walipo wateme mate chini.
 
Bado najiuliza kwanini Cement inatoka Pakistan inafika Tanzania with all logistics lakini bei iko either chini au sawa na hii ya hapa kwetu?

Kama Pakistan production cost iko chini kwanini tusilazimishe viwanda vifuate mfumo wa uzarishaji kama Pakistan ili bei ziwe chini watu wetu wanufaike?..

Kwanini Tusiruhusu Cement kutoka nje iingie ili ilete ushindani kwenye viwanda vya ndani nao waangalie uwezekano wa kushusha bei?..

Kwanini serikali isiangalie uwezekano wa baadhi ya viwanda vya cement kujengwa kanda ya ziwa na nyanda za juu kusika ili kurahisisha upatikanaji wa cement huko, kama materials hakuna kwanini zisijengwe mills tu na clinker ikasafirishwa na train to Mwanza pale au Isaka dry port na kanda nyingine wakapata cement kwa bei ya Dar..

Ujenzi ni gharama sana TZ hebu wakubwa angalieni namna bora ya kushusha gharama za ujenzi kuanzia viwanja na vifaa ili watu waishi kwenye makazi bora...
Viwanda hivyo vipo, lakini majamaa wanachezesha bei. Wako huru kama panya.
 
Tuendelee kupasa sauti, kilio cha wengi ni sawa na sala, kitasikilizwa
 
Wakuu nauza cement aina ya twiga bei 14500 kwa mfuko.. kuna mifuko 600,. .. napatikana dsm...
contact me via sms .. 0786744401..

asanteni,
 
Kilio cha wengi ni saala, naona waheshimiwa washaanza kutusikia, tuendelee kupaza sauti.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa, awali mfuko wa cement apa Mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= Tsh lakini kuanzia wiki hii cement kwa mfuko inauzwa kwa 18500/= hadi 19000/= ,

Hatujui sababu kuu ni nini haswa, sijui ndio kupanda kwa bei ya malighafi!! [emoji848][emoji848] binafsi sifahamu, yawezekana labda gharama za usafirishaji zimeongezeka!! [emoji848][emoji848], binafsi sifahamu pia japo nasikia bei ya mafuta imezidi kushuka, yawezekana uzalishaji wa cement umepungua labda nani ajuae?? Mwanza kunaniii [emoji848][emoji848].

Agents wa cements sijui ndio wanaopanga hizi bei, kusema ukweli si rafiki kwa mtumiaji wa Mwisho maana ndie aumiae.
...kupaa ...nilidhani imekuwa 40,000
 
Back
Top Bottom