Cement yazidi kupanda bei mkoani Mwanza

Cement yazidi kupanda bei mkoani Mwanza

Demand ya cement iko juu sana kutokana na miradi mingi inayoendelea ambayo inahitaji cement nyingi.
 
Huko Bukoba itanunuliwa elf 25 maana huko ndo kila bei za juu ndo wao wanaangushiwa mizigo
 
Huko Bukoba itanunuliwa elf 25 maana huko ndo kila bei za juu ndo wao wanaangushiwa mizigo

[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakinanshomile inasemekana mfukoni wako vizuri , kwa hiyo usipate wasi kabisa
 
Demand ya cement iko juu sana kutokana na miradi mingi inayoendelea ambayo inahitaji cement nyingi.

Viwanda vya ndani vipambane ku accomodate mahitaji ya ndani maana naamini malighafi ya hiyo bidhaa tunayo ya kutosha, importation zikiruhusiwa hawachelewi kulalamika kuwa wanaharibiwa soko.
 
Cement ni jipu. Wakubwa inaonesha wanakula sana kwenye makampuni ya ndani ya cement. Hapa lazma viongozi wale 10% kwenye usambazaji au uzalishaji huko kiwandani. Makampuni ya nje yakiruhusiwa kumwaga cement Tanganyika mbona tunaweza kununua mfuko sh 4000 wa kg 50 alafu ikawa bora kuliko twiga.
 
Viwanda vya ndani vipambane ku accomodate mahitaji ya ndani maana naamini malighafi ya hiyo bidhaa tunayo ya kutosha, importation zikiruhusiwa hawachelewi kulalamika kuwa wanaharibiwa soko.

Kuna viwanda 13 vya cement ambavyo viko katika uzalishaji. Tatizo havizalishi katika maximum capacity kulingana na changamoto mbali mbali hususani nishati.

Mahitaji ya cement ni makubwa kuliko uzalishaji. Ndio maana bei inapanda. Solution sio kuruhusu za nje zije maana itaua viwanda vilivyopo kabisa. Suluhisho ni kupata nishati ya uhakika na ya kutosha. Mali ghafi ziko za kutosha hivyo hiyo cement tutapata kwa buku 5 kwa mfuko.
 
Pengine ni sahihi au sio sahihi kwamba nishati ya umeme haitoshi, japo sina uhakika kuhusu factory zinazozalisha cement kwa sasa kama zinatumia umeme tuze maxmum kiasi cha kwamba usitoshe, Ukweli wanaufahamu wazalishaji ,

Hoja ya kuwa mahitaji ya cement yameongezeka ni sahihi maana milardi inayoendelea bila kuwa na extra production lazima price tag inflation kwa bidhaa hii itaongezeka:.

Pendekezo langu, Serikali wajalibu kutusaidia wanainchi hasa sisi watumiaji wa mwisho(consumers) either kwa kupunguz kodi kwa wazalisha ama kwa endorse ruzuku kwa viwanda husika ili jamii nayo ipate unafuu:

Otherewise miladi mingine itasimama pengine hata kupelekea maisha kuwa magumu zaidi mtaani,

Implication ya cement kupanda bei = kodi za nyumba kupanda bei maana mjenzi nae hatakubali nyumba ake apangishe kwa bei bwelele wakati alijenga kwa cement ghali
 
Afadhali hata huko ipo ila bei ya juu. Arusha maduka yote ya hardware hadi leo hayakuwa na cement kabisa. Naamini lakini wiki hii itakuwepo ya twiga badala ya simba ambayo kiwanda chake sijui imekuwaje kwa sababu ndio tunatumia simenti yao na hawajaleta kwa maduka ya jumla wala rejareja.
Poleni,
Karibuni DANGOTE CEMENT, bei ni ya Mwananchi wa Chini kabsaa ukiwa na Million yako umajenga Boma.
 
You loose some, you win some..

Viwanda vinashindwa kufikia maximum production capacity sababu ya nishati, iwe umeme au gesi. Miundombinu ya nishati haikidhi viwango vya kuzalisha to the maximum.

Serikali inataka miradi yote itumie rasilimali na bidhaa za ndani zaidi ili ku save pesa za kigeni na kuinua uchumi. Hivyo production karibu yote ya cement inaelekezwa huko.

Na viwanda vinafurahia hiyo maana vinauza in bulk na hivyo wanapunguza cost kubwa ya distribution na storage.

Wateja wa mwisho as individual ndio wahanga sasa katika hili, ndio maana bei zinasumbua huku mtaani. Nini kifanyike? Watunga sera na tuliowapa dhamana ndio waangalie hilo.
 
You loose some, you win some..

Viwanda vinashindwa kufikia maximum production capacity sababu ya nishati, iwe umeme au gesi. Miundombinu ya nishati haikidhi viwango vya kuzalisha to the maximum. Serikali inataka miradi yote itumie rasilimali na bidhaa za ndani zaidi ili ku save pesa za kigeni na kuinua uchumi. Hivyo production karibu yote ya cement inaelekezwa huko. Na viwanda vinafurahia hiyo maana vinauza in bulk na hivyo wanapunguza cost kubwa ya distribution na storage.

Wateja wa mwisho as individual ndio wahanga sasa katika hili, ndio maana bei zinasumbua huku mtaani. Nini kifanyike? Watunga sera na tuliowapa dhamana ndio waangalie hilo.

Well said
 
Sijawahi kuelewa kwa majiwe yote, yaliyo tokea Dodoma, Singida, Tabora, Mwanza, eti hakuna kiwanda cha CEMENT...

Ilipaswa kuwe na kiwanda kanda ya kati, kungepunguza sana bei.

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Ni kweli mafuta yameshuka bei, ila tatizo bei za usafirishaji kwa watu wa malori hazipo regulated na chombo chochote.

Regulator wa bei za usafirishaji ni makubaliano, na mara nyingi most of agents wana malori refer hapa mwanza, Mwanza Huduma ambae ndo supplier wa cement hapa Mwanza wanamasemi mengi sana sana yanayoleta bidhaa zao hasa cement so naamini kushuka kwa mafuta kwao ni nafuu , so haiwezi kuwa sababu ya bei ya cement kupanda labda tuje na fact zingine
 
Afadhali hata huko ipo ila bei ya juu. Arusha maduka yote ya hardware hadi leo hayakuwa na cement kabisa. Naamini lakini wiki hii itakuwepo ya twiga badala ya simba ambayo kiwanda chake sijui imekuwaje kwa sababu ndio tunatumia simenti yao na hawajaleta kwa maduka ya jumla wala rejareja.

Baba lao Dangote vipi kwani?
 
Dangote cement ni nzuri sana sababu ni 42.5 quality na bei siku za nyuma huwa inalingana na ya Simba 32.5. Tatizo kuna miezi huwa inapotea, kisha inarudi tena. Kwa arusha simba wana logistics nzuri kulilo makampuni mengine na ndio maana wanamiliki asilimia kubwa sana ya simenti kwa arusha anyway.
Baba lao Dangote vipi kwani?
 
Dangote cement ni nzuri sana sababu ni grade ya 42.5 na bei siku huwa inalingana na ya Simba grade ya chini ya 32.5. Tatizo kuna miezi huwa inapotea, kisha inarudi tena. Kwa hio reliability haiko vizuri sana. Kwa arusha simba wana logistics nzuri kulilo makampuni mengine na ndio maana wanamiliki asilimia kubwa sana ya simenti kwa arusha anyway.

Poleni,
Karibuni DANGOTE CEMENT, bei ni ya Mwananchi wa Chini kabsaa ukiwa na Million yako umajenga Boma.
 
Back
Top Bottom