IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Dangote cement ni nzuri sana sababu ni 42.5 quality na bei siku za nyuma huwa inalingana na ya Simba 32.5. Tatizo kuna miezi huwa inapotea, kisha inarudi tena. Kwa arusha simba wana logistics nzuri kulilo makampuni mengine na ndio maana wanamiliki asilimia kubwa sana ya simenti kwa arusha anyway.
Dangote nimeskia baada ya kuanza kutumia gesi asilia kwenye mashine zake uzalishaji umeongezeka mara dufu, na nimesoma mahali kwamba kiwanda chake cha Mtwara (ana viwanda vingi vya cement barani Afrika) kwa sasa ni moja ya vinavyotengeneza faida kubwa. Maybe distribution ndo tatizo maana anatumia sana yale malori yake. Morogoro bei ya siment ya Dangote ni 14,500/=