Makampuni ya saruji nchini yatangaza kupandisha bei za Saruji, kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,943
Reaction score
2,982
Makampuni mbalimbali makubwa ya saruji nchini (ikiwemo Dangote, Moshi Cement/Jun Yu, Tanga Cement/Simba, Lake Cement/Nyati, na Mbeya Cement) yametangaza kupandisha bei za bidhaa zao kuanzia mwanzoni mwa mwezi Julai 2026.

Makampuni yote yanataja sababu zinazofanana zilizopelekea mabadiliko hayo ya bei (bila kujumuisha kodi ya VAT), ambazo ni pamoja na kupanda kwa gharama za uendeshaji wa biashara, kuongezeka kwa gharama za malighafi, tozo za kisheria na kodi, pamoja na kupanda kwa gharama za usafirishaji.

Makampuni hayo ya Cementi yameongeza bei ya bidhaa zao kama ifuatavyo
  • Dangote Cement: Wameongeza kiasi cha Tshs 650 kwa mfuko wa cement 50Kg
  • Moshi Cement: Wameongeza Tshs 500 katika bei ya awali
  • Simba cement: Bei itakuwa 13, 000 kwa tani
  • Lake cement: Bei itakuwa Tshs 13,000 kwa tani
  • Mbeya cement: - Fastaplus Tshs. 9,085 kwa tani na Tembo supaset Tshs. 14, 136 kwa tani

1783515342866.png

1783515369875.png

1783515546634.png

1783515397780.png

1783515488897.png

Hapo CCM ndiyo wanafurahi wakiona wananchi wanateseka na kutaabika kwa ukali wa maisha. Hao wananchi wakijaribu tu kulalamika au wakijitokeza hadharani kudai haki zao za msingi wanaishia kuwateka, kuwapoteza, kuwaua, kuwatisha, kuwafunga, nk.
 
Makampuni mbalimbali makubwa ya saruji nchini (ikiwemo Dangote, Moshi Cement/Jun Yu, Tanga Cement/Simba, Lake Cement/Nyati, na Mbeya Cement) yametangaza kupandisha bei za bidhaa zao kuanzia mwanzoni mwa mwezi Julai 2026.

Makampuni yote yanataja sababu zinazofanana zilizopelekea mabadiliko hayo ya bei (bila kujumuisha kodi ya VAT), ambazo ni pamoja na kupanda kwa gharama za uendeshaji wa biashara, kuongezeka kwa gharama za malighafi, tozo za kisheria na kodi, pamoja na kupanda kwa gharama za usafirishaji.

Makampuni hayo ya Cementi yameongeza bei ya bidhaa zao kama ifuatavyo
  • Dangote Cement: Wameongeza kiasi cha Tshs 650 kwa mfuko wa cement 50Kg
  • Moshi Cement: Wameongeza Tshs 500 katika bei ya awali
  • Simba cement: Bei itakuwa 13, 000 kwa tani
  • Lake cement: Bei itakuwa Tshs 13,000 kwa tani
  • Mbeya cement: - Fastaplus Tshs. 9,085 kwa tani na Tembo supaset Tshs. 14, 136 kwa tani

Mishahara tu ndo haipandiiii
Gademitiii
 
Mama anaupiga mwingi
 
Bei itakuwa 13,000 kwa tani au itaongezeka 13,000 kwa kila tani?
 
Bado, tusubiri bei za Viwanda vya nondo, bati na wazalishaji wa kokoto.
Haijaisha, mpaka iishe.
 
Makampuni mbalimbali makubwa ya saruji nchini (ikiwemo Dangote, Moshi Cement/Jun Yu, Tanga Cement/Simba, Lake Cement/Nyati, na Mbeya Cement) yametangaza kupandisha bei za bidhaa zao kuanzia mwanzoni mwa mwezi Julai 2026.

Makampuni yote yanataja sababu zinazofanana zilizopelekea mabadiliko hayo ya bei (bila kujumuisha kodi ya VAT), ambazo ni pamoja na kupanda kwa gharama za uendeshaji wa biashara, kuongezeka kwa gharama za malighafi, tozo za kisheria na kodi, pamoja na kupanda kwa gharama za usafirishaji.

Makampuni hayo ya Cementi yameongeza bei ya bidhaa zao kama ifuatavyo
  • Dangote Cement: Wameongeza kiasi cha Tshs 650 kwa mfuko wa cement 50Kg
  • Moshi Cement: Wameongeza Tshs 500 katika bei ya awali
  • Simba cement: Bei itakuwa 13, 000 kwa tani
  • Lake cement: Bei itakuwa Tshs 13,000 kwa tani
  • Mbeya cement: - Fastaplus Tshs. 9,085 kwa tani na Tembo supaset Tshs. 14, 136 kwa tani

Tutajenga kweli
 
Juzi hapa nimewaponda sana Tume ya Ushindani wa Kibiashara kwa mambokama haya. Sasa hebu angalia, iweje viwanda vyote vya cement vimepandisha bei kwa wakati mmoja? Ina maana walikutana kujadili kupandisha bei, jambo ambalo ni dhambi kubwa katika suala la ushindani.
Walikaa Pamoja Wakatumia ChatGPT
Halafu Wakataja Bei
Tume Ya Ushindani Imelala Fo Fo Fo Inakoroma Na Kutoka Ute Hovyo Kabisa
 
Back
Top Bottom