Kungurumweupe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 317
- 103
Nasikia Twisa kaenda Zainab namshauri aenzishe kitu ka extreme huko ,mwisho wa malalamiko haya!!!!!
That means from azaniae bancorp to zainabu!
Nasikia Twisa kaenda Zainab namshauri aenzishe kitu ka extreme huko ,mwisho wa malalamiko haya!!!!!
Rebranding means something is undercover.
That means from azaniae bancorp to zainabu!
Teh teh kumbe hilo jina na mirangi imetuboa wengi! Nilidhani ni pekeyangu... teh teh..
Well labda tutaizoea, ila wakitaka tuipende washushe bei kama Tigo tulonge longe mpaka kuche vinginevyo halipendwi jina wala rangi swala hapa ni unafuu wa 'bora maisha' (JK et al. 2005)
Kevo's response is correct 100%, NO doubt.
Those who do not believe it should do their research else where to be convinced. The company (registered, hence legally) is still Celtel, ownership has not changed, NO tax holidays, nothing...
Wale tusiopenda jina Zain tunao uhuru wa kujisikia hivyo na kutoa maoni, lakini tusijaribu kupotosha wengine hapa maana nimeona neno ufisadi linajitokeza. This word will soon loose its meaning completely if everything is ufisadi, jamani hata company re-branding is also called ufisadi mkubwa!!
The whole thing sounds crazy to me lakini is this tax holiday for real??? Celtel iko kwenye 22countries why would they change their name only to benefit from tax holiday in Tanzania????
Zain ambayo nayo lazima ipewe tax Holiday ya miaka mitano! .
celtel iliuzwa kipindi kirefu sana kwa waarabu ambao wanakampuni ya zain. zain walikuwa wanatumia tuu jina la celtel kwa sababu ya market siyo rahisi kwa mara moja kubadili jina so sasa hiv ndiyo wameipa jina lao
..una uhakika?. toa data!
Ndugu,hawa watu ukianza kushindana nao hutafika mahali!Wanaandika tuu yale wanayoyafikiria na kusikia huko mitaani ila waambie waseme wanayoyajua ama kutoa data!Watapotea hata hutajua walipopotelea!
..una uhakika?. toa data!
..sahihi kabisa!
Nimekuwa nikijiuliza nini maana ya kubadili badili majina ya makampuni makubwa kama vile, SHERATON iligeuka kuwa ROYAL PALM na sasa MOVENPICK. Pia makampuni ya simu kama Mobitel ikageuka kuwa tiGO. Lakini hili la sasa la kampuni ya simu celtel kuwa ZAIN limenifumbua macho. Nimejiuliza huku na kule mwisho nikapata jibu kwamba, kila kampuni hupewa kitu kinaitwa "Tax Holiday" ambapo mkataba huwa miaka mitano mitano ambapo kampuni husika huwa haipaswi kulipa kodi yoyote. Kwa hiyo hzinduzi wa makampuni haya kwa kubadilisha majina nimeona ni mzigo kwa jamii, kuna ufisadi mkubwa unafanywa, wananchi tumechoka, hatutaki.
....Funny, how you are not asking this one for Datas....??!!?? So you have already taken sides, Eh?? Too bad, just tooBad...!
..i dare you, weka data hapa!
..and fyi, i'm not taking sides!
..najaribu kuweka picha sawa, watu wanapenda kupotosha sana mambo. na hiyo si kwa faida ya yeyote yule, mimi au wewe.