CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu Pukudu asante kwa kunishtua niliteleza kidogo kwenye uandishi mpangilio sahihi uko hapo chini kwani hata wako una walakini kidogo(vice versa is true).

Semi-finals 6/12/12:
SF1 - Winner of Match 1 v Winner of Match 2 (1300);
SF2 - Winner of Match 3 v Winner of Match 4 (1600)

Quarter-finals 3/12/13:
Match 1 - Rwanda v Tanzania (1300); Match 2 - Uganda v Ethiopia (1600)

4/12/12:
Match 3 - Burundi v Zanzibar;
Match 4 - Kenya v Malawi (1300)

Mkuu hebu angalia vizuri hapo kwenye nyekundu naona kuna mshikeli kidogo maana hiyo mechi ilishachezwa tayari leo.
 
2 Desemba 2012, leo ni mapumziko.
Naona watu inbox wanaulizia ratiba...

Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012

Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar

Results
Rwanda 0 - 2 Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)

Burundi 5 - 6 Zanzibar (on Penalties)

4/12/2012

Kenya vs Malawi

Uganda vs Ethiopia

Results to follow

Semi Finals
....

nice updates...
 
mi naona hapa sasa ndio sehemu nzuri ya kuchukulia wachezaji wa timu ya taifa stars katika hili maana utajua nani mkali na nani anazingua..

Tanganyika ni taifa na Zanzibar ni taifa, unazungumzia taifa gani tena mkuu?
 
2 Desemba 2012, leo ni mapumziko.
Naona watu inbox wanaulizia ratiba...

Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012

Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar

Results
Rwanda 0 - 2 Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)

Burundi 5 - 6 Zanzibar (on Penalties)

4/12/2012

Kenya vs Malawi

Uganda vs Ethiopia

Results to follow

Semi Finals
....

Hapo kwenye red ndipo nilipogundua upuuzi wa CECAFA.Yaani timu zinatoka kundi moja zinacheza zenyewe kwenye mtoano.NI AFRIKA PEKEE..........
 
Dakika ya 49
[TABLE="class: league-table"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fh"]Kenya
[/TD]
[TD="class: fs"]0 - 0 [/TD]
[TD="class: fa"]Malawi [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mechi imekwisha kenya 1 malawi 0, kenya wanaenda nusu fainali
 
Malawi flames have been quenched, they can't burn any more! Full time Kenya 1-0 Malawi.
 
Uganda anaongoza bao 1 - 0, kipindi cha pili ndio kinakaribia kuanza....goli limefungwa na Geoffrey Kizito

Asante mkuu maana nimeona hapa leo pamekuwa kimya sana. Vipi unaonaje, ni heri tukutane na Waganda au Wa-Ethiopia kwenye nusu fainali?
 
Kipindi cha pili Ethiopia na Uganda ndio kinaanza sasa...
 
Goooal...dk 59
Robert Ssentongo anaifungia Uganda goli la pili...
 
Back
Top Bottom