Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,936
- 134,005
Madogo hawana uzoefu, Chuji anashika dimba sasa
Mkuu nikumbushe kama Kazimoto alishatoka
Madogo hawana uzoefu, Chuji anashika dimba sasa
Ametengeneza posts kitambo ana-copy na ku-paste tu, no body can win him
Mkuu nipe mwongozo kuhusu nyimbo za taifa kwny gae ya kesho kutwa kati ya Straz na Zenji
kocha alipumzisha kwa ajili ya fainali!!Chuji aitakiwa kuanza mechi hii.........
Dakika ya 65
Tanzania 0-2 Uganda
Mkuu nikumbushe kama Kazimoto alishatoka
Hongereni Zanzibar, kiukweli mmejitahidi sana na mmeonesha nia na njia.
Samani mkuu Verossa ya Ngasa mtarudisha show room?