Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Tumekoswa la 3......Offside.......Kapombe apunguze uzembe, la sivyo tutafungwa mengi
mid imekufa,sub ifanyike fasta
mkuu utabiri wako unafanya kazi,maajabu yatokee kubadili haya matokeo.!
Vipi mpira ukianzishwa then ukapigwa kuelekea langoni kwao....Watapaa kurudi nyuma kuokoa?.....Ni mpangilio tu wa nafasi za uwanjani...Japo hakuna sheria inayomzuia beki kuanzisha mpiraSasa mbona cjawahi kuona Yondani, Nyoso au Ferdinand akianzisha
Pengo la chuji linaonekana
Bocco sio kwamba hachezi vizuri inahitajika Middle inayoingia na kumchomekezea Pasi nzuri za chini Ruler pass iliyokwenda shule Ngassa ndio wakutolewa anakimbia tu mabio basi.
Pengo la chuji linaonekana
Pengo la Boban vilevile
Ha haha .. Kaka nipo.. Namuona Balantanda hapo
chuji si yupo aingie asaidie kati,au wanasubil 2fungwe 8?