mmmh!!!kwa hiyo tunatumia wimbo na bendera ya watanzania ili hali sisi si watanzania!!!And above all the so called kili stars has neither its real national song nor flag!What do you expect...!Just kidding Mungu ibariki Tanganyika ishinde.
Nashukuru kwa kurekebisha,
kwa vile uko home jaribu na kusaidia beki kubana pumb.Wadau sasa ndio nafika home nadhani sasa tutakua tunaonga lugha moja second half
Mkuu hata tumekuwa na tatizo la strikers, Akuffo kapigwa ''misumari'', Sunzu kaisha......sasa Ngasa na Okwi ndo ilikuwa ndo wamebaki kama wakombozi.......ni mapovu ya Rage ni positive
Yeah, ndo mana tunataka serikali tatu.And above all the so called kili stars has neither its real national song nor flag!What do you expect...!Just kidding Mungu ibariki Tanganyika ishinde.
Mkuu kuna sheria inayozuia mabeki kuanzisha mpira kati?2nd Haf imeanza
Tanzania 0-1 Uganda
Domayo yupo uwanjani tangu mwanzi wa mchezo......Pia kacheza mechi zoteAlafu atoke Kiemba aingie Frank Domayo
kwa vile uko home jaribu na kusaidia beki kubana pumb.
HakunaMkuu kuna sheria inayozuia mabeki kuanzisha mpira kati?
leo ni mara ya pili namuulizia huyu mtu lakini naona watu kimya kabisa,inanitia mashaka!!!!!
Watanzania ni sisi pamoja na wazenji.Ukiwatoa wazenji sisi ni watanganyika.Bendera na wimbo si vyetu!mmmh!!!kwa hiyo tunatumia wimbo na bendera ya watanzania ili hali sisi si watanzania!!!
Domayo yupo uwanjani tangu mwanzi wa mchezo......Pia kacheza mechi zote