Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Zimeongezwa 2
Mphamvu huyu dogo asije kuwa kapatwa na mathaibu makubwa zaidi kuliko tunavodhani........mwenye taarifa atujuze.........Balantanda unakimbilia uwanjani tu, tujuze kuhusu mdau, hakukuaga?
hiyo reference inanizidi umri sijui kama ni nzuri kujiaminisha nayo!
Nashukuru kwa kurekebisha,Half time. TZ 0-1 UG
Haya makocha wa mtaani semeni nini kifanyike ili tushinde. Au mmezoea kurudia comment za analysts kwa timu za ulaya?
Half time. TZ 0-1 UG
Bado tuna tatizo kwenye Kiungo......Ngassa, Bocco na Kazimoto hawalishwi mipira kule mbele....
Kuna haja kocha akamuingiza Chuji ambaye ni mkabaji na anapeleka mashambulizi mbele
"You can not win your enemy when you are divided." So we can not win this match because we have divided our national team, Taifa Stars into two teams Kilimanjaro stars and Zanzibar heroes!!? LOLNashukuru kwa kurekebisha,
Mkuu mbona Rage anatokwa povu mauzo ya Ngasa? Dola elfu 70
Mkuu mbona Rage anatokwa povu mauzo ya Ngasa? Dola elfu 70
du hii misemo hii!!kwa hiyo kule awali alikuwa anapata nguo nyeusi!!!!dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...
And above all the so called kili stars has neither its real national song nor flag!What do you expect...!Just kidding Mungu ibariki Tanganyika ishinde."You can not win your enemy when you are divided." So we can not win this match because we have divided our national team, Taifa Stars into two teams Kilimanjaro stars and Zanzibar heroes!!? LOL