naona tumeamua kuwafuata wazanzibar!Ssentongo anapiga msumari wa moto. TZ 0-2 UG.
Ssentongo anatutungua la pili. krosi ya Kiiza lakini mbona kama Kiiza alikuwa offside?
si wamtoe ngasa,mi sioni anafanyaje
naona tumeamua kuwafuata wazanzibar!
Haikuwa offside mkuu....Mabeki waitaka kucheza mtego wa offside...Bahati mbaya Kapombe akasita na kufuata mpira....Akavunja offside....Ssentongo anatutungua la pili. krosi ya Kiiza lakini mbona kama Kiiza alikuwa offside?
Hakuna