Waganda watatupa wakati mgumu sana.
Waganda watatupa wakati mgumu sana.
ni kweli halafu hali ya kucheza nyumbani itawapa confidence sana
kilimanjaro chini ya kim paulsen wapo vizuri sana,na hata uganda hawana mpira wa kuitisha kili starz, vijana wanafunguka na kujituma ama hakika they know what their doing,HONGERA KIM
Mechi ya kwanza kt ya znzbr na kenya ni sa 10 mech ya pili u.g na tanganyika ni sa 1:00 ucku.karibuni.
Ok usiache kutupa matokeo maana huku kwetu ni mwendo wa mvua tu