CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

dakika ya 3
[TABLE="class: league-table"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fh"]Zanzibar
[/TD]
[TD="class: fs"] 0 - 0
[/TD]
[TD="class: fa"] Kenya
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkuu jitaidi kuleta updates leo wengi hatuko kwenye screen,chondechonde mkuu!!!!!!
 
Dak. 6 bado 0-0

Makoye matale mkuu wangu tafadhali sana,leo nimechelewa kutoka huku kwenye mashimo yangu ninayochimba dhahabu,niko njiani kwenye gari nawahi mechi ya Bara na Uganda mpaka nije nifike mjini mechi hii baina ya zenji na Kenya itakuwa imekwisha,kwa hiyo ndugu yangu nakuomba sana jitahidi ku-update kila wakati tafadhali sana mkuu!!!!!!!!
 
Mkuu usijali natazama S9 East, utapata updates bila tatizo. Dak. 18 bado 0-0.
 
Mkuu ukishafika hapo mbona matokeo ya hiyo mechi hayaonekani?!

[TABLE="class: league-table"]
[TR]
[TH="colspan: 4"]December 6 [/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]13:00 19' [/TD]
[TD="class: fh"] Zanzibar [/TD]
[TD="class: fs"] 0 - 0 [/TD]
[TD="class: fa"] Kenya [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: fd"] 16:00 [/TD]
[TD="class: fh"] Tanzania [/TD]
[TD="class: fs"] ? - ? [/TD]
[TD="class: fa"] Uganda [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mbona yapo mkuu ,yanaoneka vizuri tu. Sijui unatumia kifaa gani
 
ipad mkuu!

[TABLE="class: league-table"]
[TR]
[TH="colspan: 4"]December 6
[/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]13:00 19'
[/TD]
[TD="class: fh"] Zanzibar
[/TD]
[TD="class: fs"] 0 - 0
[/TD]
[TD="class: fa"] Kenya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: fd"] 16:00
[/TD]
[TD="class: fh"] Tanzania
[/TD]
[TD="class: fs"] ? - ?
[/TD]
[TD="class: fa"] Uganda
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mbona yapo mkuu ,yanaoneka vizuri tu. Sijui unatumia kifaa gani
 
Wakenya wanaonekana kuduwazwa na goli la Zanzibar, wakiendelea hivi Zanzibar wanaweza kuingia fainali. Dak. 26 bado Zanzibar 1-0 Kenya.
 
aisee huyu dogo itabidi na yeye tumuuze aisee maana ni hatari..
 
Back
Top Bottom