Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Hatimaye nimepata source loh mna roho mbaya leo JF humu : Uganda - Ethiopia live score - SofaScore.com
Asante mkuu maana nimeona hapa leo pamekuwa kimya sana. Vipi unaonaje, ni heri tukutane na Waganda au Wa-Ethiopia kwenye nusu fainali?
Hatimaye nimepata source loh mna roho mbaya leo JF humu : Uganda - Ethiopia live score - SofaScore.com
Game imebalance ila Ethiopia hawana wamaliziaji wazuri...
Uganda wanatisha mkuu watatusumbua sana mechi yetu na wao...
Kwa viwango vya leo kwa timu zote ni mara 10 tungekutana na Ethiopia
Mkuu hii stage hakuna kuchagua timu. Hao waganda lazima walale kwao ili tulipe kisasi.
mkuu Makoye nilikua namjibu yule jamaa alikua anataka kujua ni timu gani ni strong leo na asingependa kushuhudia ikicheza na Kili Stars
Ok Mkuu, nimekupata vizuri sana. Tuombe dua tu hawa Waganda tutawang'oa hapo hapo kwao, hawatishi sana.