Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dak. 29 Zanzibar 1-1 Kenya by Mike Baraza.
Wakenya wanaonekana kuduwazwa na goli la Zanzibar, wakiendelea hivi Zanzibar wanaweza kuingia fainali. Dak. 26 bado Zanzibar 1-0 Kenya.
znz v/s kenya mechi naendelea uwanja umejaa maji
Itabidi kwanza aende Simba kwa mkopo halafu ndo mfanye uhuni wa kumuuza juu kwa juu.aisee huyu dogo itabidi na yeye tumuuze aisee maana ni hatari..
Wakenya wanaonekana kuduwazwa na goli la Zanzibar, wakiendelea hivi Zanzibar wanaweza kuingia fainali. Dak. 26 bado Zanzibar 1-0 Kenya.
Dak. 29 Zanzibar 1-1 Kenya by Mike Baraza.
Dak. 29 Zanzibar 1-1 Kenya by Mike Baraza.
hapo cha msingi ni zenji kuwaongeza ili wachoke zaidi..
Itabidi kwanza aende Simba kwa mkopo halafu ndo mfanye uhuni wa kumuuza juu kwa juu.
Itabidi kwanza aende Simba kwa mkopo halafu ndo mfanye uhuni wa kumuuza juu kwa juu.
washarudisha hao watoto wa Kibaki
Pelekeni madudu yenu huko sisi hapa tunafuatilia mechi mnataka kuharibu mudy yetu,aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
Mkuu sio lazima kusoma kila post, zingine unazipotezea tu.Pelekeni madudu yenu huko sisi hapa tunafuatilia mechi mnataka kuharibu mudy yetu,aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
Yaani wameirudisha tena hizi mechi kwenye lile bwawa, aisee!!