Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
huyu ndikumana ndio yule shem wetu ? kwa uyoya au?
Ndiye huyo nadhani...
huyu ndikumana ndio yule shem wetu ? kwa uyoya au?
Fisto Abdul amekosa penati upande wa Burundi....Zanzibar wameshinda penati yao.....Goooooooaaaal...Nusu fainali ya kwanza ni Kilimanjaro Stars vs Zanzibar Heroes..
Leteni jamani matokeo maana warundi walituaabisha
Safi sana vijana wa zenji, natabiri fainali ni tanganyika na zanzibar.
Fisto Abdul amekosa penati upande wa Burundi....Zanzibar wameshinda penati yao.....Goooooooaaaal...Nusu fainali ya kwanza ni Kilimanjaro Stars vs Zanzibar Heroes..
Mkuu,si kwamba Tanganyika atacheza na mshindi wa kesho kati ya Uganda na Ethiopia?

Wewe Tanganyika Vs Kenya or Malawi
Zanzibar Vs Uganda or Ethiopia
Fainali ninavyoona ni Kili Stars vs Uganda