CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

hivi jameeni, mie nnauliza hakuna mtu mwenye update za zenji na malawi?
 
Walikuwa full kikosi, mchezo ulichezwa kiufundi na kistaarab sana. Sio kadi nyekundu tu, hata ya njano hakuoneshwa mchezaji yeyote.
aiss!unataka kusema kuwa tuna timu nzuri au tulikutana na timu mbovu!
 
Mkuu, Zenj leo hawachezi, mechi hewani sasa ni Eritrea v Rwanda. Sasa ni dk. 38 matokeo ni Eritrea 0-1 Rwanda.

Nap!
Wanacheza leo, ni game 4 zitachezwa.
Kesho mapumziko, Jumatatu robo fainali inaanza.
 
Nap!
Wanacheza leo, ni game 4 zitachezwa.
Kesho mapumziko, Jumatatu robo fainali inaanza.

Uko sahihi Mkuu, mie nili-bug, Malawi 2-0 Zanzibar, wamekandamizwa dk. 20 na 25 mechi inaendelea; Source: Worldnewssites.com
 
Back
Top Bottom