Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,979
- 134,095
Kutoka wapi mkuu?
Tatizo jezi ya Kaseja, Mi sijapendendezwa kabisa.........Yanga & CCM = Los
Kutoka wapi mkuu?
Kutoka wapi mkuu?
Kaseja bomba sana. Kafuta la wazi.
Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya....
Wao moja sisi bila!
nasikia kule kwao wanamkataa huyu jamaa.!
sasa wewe huko unako elekea siyo kwenye soka la timu ya taifa!!Tatizo jezi ya Kaseja, Mi sijapendendezwa kabisa.........Yanga & CCM = Lose
nilikuwa kijijini mkuu
mkuu mi naufatilia hapa jamii kwa hiyo starehe yangu iko katika macho na masikio yenu mlio na access ya TV na radio!!
binafsi bado nina imani na kaseja,ila ndo hivyo nabii hakubaliki kwao!!Kaseja bomba sana. Kafuta la wazi.
sasa wewe huko unako elekea siyo kwenye soka la timu ya taifa!!
halafu mnamwogaopa kweli kisa mbunge.!Rage anatuharibia timu.....JUMA kichwa
aisss!kumbe jamaa mnazi wa kule kwa jirani!!Kwani unamuonaje huyu jamaa??!,we ukitaka kujua ana matatizo angaliua tu hiyo ID yake.