CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Hivi ni kwa nini Kilimanjaro Stars jezi zao zimeandikwa Tanzania wakati Zanzibar iko kivyake? Nadhani hapa kuna tatizo. Au wadau mnasemaje?
 
1 Desemba 2012, kutoka viwanja vya Lugogogogo na Wankunkulu;

Kundi B

1400 EAT: Tanganyika vs Somalia (Lugogo Stadium)

1400 EAT: Sudan vs Burundi (Wankunkulu)

Kundi C

1600 EAT: Malawi vs Zanzibar (Lugogo)

1600 EAT: Eritrea vs Rwanda (Wankunkulu)

Mkuu nimekumaindi sana, kuna gazeti limeni-mislead eti game sa 12, nipo job nimejiachia kumbe mnakula raha huku, ungeni-tag mkuu
 
Hivi ni kwa nini Kilimanjaro Stars jezi zao zimeandikwa Tanzania wakati Zanzibar iko kivyake? Nadhani hapa kuna tatizo. Au wadau mnasemaje?

kwamfano zingeandikwaje wakati hamtaki kutoa maonio ili tuvunje muungano rasmi? kwani nyie wabara mna nchi yenu?
 
Hivi ni kwa nini Kilimanjaro Stars jezi zao zimeandikwa Tanzania wakati Zanzibar iko kivyake? Nadhani hapa kuna tatizo. Au wadau mnasemaje?

Mkuu naona unataka kuleta mambo ya ''Katiba Mpya''. Tulia kwanza tusherehekee, then uanzishe thread, au sio
 
Duh! Kwa wasomali, ngoja tujipongeze hivyohivyo.!
 
Back
Top Bottom