kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!!Hahaha...timu yetu huwa haitabiriki, ili tushinde huwa tunahitaji nafasi kama 10 hivi
we ungekuwa daktari nisingeleta mgonjwa kwako!!!huu mpira hauna matumaini kabisa ya kushinda.!
Ni kweli mkuu. Pepo wa kufungwa ashindwe na alegee kabisa
kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!!
mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache
imekuwaje...!!!kafunga?John Bocco...
John Bocco...
nimerudi
nimerudi
Mkuu mi nasepa bwana nawahi hotelini kuna foleni zaidi ya ile ya Dar hapa naona tumelizwa mtanijuza