CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu ile Red Card kabisa Jamaa mipira yetu ya magoli ya mawe tunasema Kakinda mguu kabisa.
 
Hiyo ilikuwa ni straight red card,sasa sijajua huyu refa anatumia akili ya wapi na sheria za nchi gani?
 
Ngassa anafurukuta kiukweli, Bocco 'simuoni' vizuri. Tunaweza kupata bao, tuendelee kuomba dua.
 
Ball dancer anatoka, anaingia Shaaban Nditi.
 
Seif Rashid ile pasi aliyodaka kipa ni nzuri ila wachezaji hawajaingia ndani wengi . ushambulizi haukujaa.
 
Ngassa anafurukuta kiukweli, Bocco 'simuoni' vizuri. Tunaweza kupata bao, tuendelee kuomba dua.

Ukiomba Dua na Wenzako wanaomba Dua Mwenyezi mungu anawapenda wote wanaoomba Dua. kilichobaki Bidii na sifujo.
 
Back
Top Bottom