Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
kaka huu uandishi wako utatutia pressure ya furaha kumbe ngoma bado hakijaeleweka!!!!Starz 2punguze faulo
kaka huu uandishi wako utatutia pressure ya furaha kumbe ngoma bado hakijaeleweka!!!!Starz 2punguze faulo
Kwa Uganda, Nakivubo ni kama Uhuru na Mandela ni kamaTaifa kwa hapa Bongo mtawalia. Hakuna jipya zaidi ya viwanja hivi.
naona tumeamuka kiasi.
Msuva nae ana mikoba?
Slow but sure,let us try 2nd Half.
Mkuu simaanishi ile mikoba ya kwenu na hasa ile unayotunzia Kamera yako,au ambayo huwa anakubebesha Bibi yako.hapana.namaaisha namba aliyokuwa amekabidhiwa kuicheza kashindwa kuitendea haki lakini kiemba anaonekana kuimaster.

Sijui Boco alikuwa wapi kumalizia ile rebound...
Hata wewe?
ha !ha!ha! Huyo ndugu analeta uyanga na usimba,bora umpe za uso labda atakuelewa.!
Chupuchupu Mwinyi Kazimoto atuinue hapa... Mpira unapita nje kidogo ya goli.
Penalty wanapata Burundi hapa...